jamani kazi za BENKI vipi!!??

kama nakutana na wewe kwenye interview, and nimekufahamu sikupi kazi. unajua costs za kuendesha huu mtandao ni kubwa sana?, sasa ndio unaanzisha Topic ya aina gani isiyo na Mashiko?,

Shule zitusaidie. jielleze vema upate msaada stahiki.
 
Tafuta contact za mabenki tuma CV yako au visit website zao na utume CV yako halafu fuatilia kazi zinazofanyika benki ili ujue kama unafit wapi na elimu yako.
mmmmh, nahisi anamaanisha kazi za benki zinapatkana patkana vipi? tupeni mbinu nasi jamani
 
Mnajadili nini sasa wakati thread haijauza wala kusema kinachoeleweka
 
Nenda kasome chuo cha ifm kozi ya banking and finance.....benki kibao zinaajili wanafunzi wa ifm.......
 
hata mlimani kuna bcom -banking pia. lakini benki wanachukua watu wa aina mbalimbali, toka vyuo mbali mbali , sio lazima usome ifm ndio upate kazi benki.
 
Back
Top Bottom