Tanapa kulikoni!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanapa kulikoni!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by hassaniMo, Feb 29, 2012.

 1. h

  hassaniMo Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa bado hawajatoa shortlist au ndo ile ONLY SUCCESSIFUL CANDIDATE WILL BE CONTACTED.
   
 2. b

  bebiwilli Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona umeshajijibu?
   
 3. korino

  korino JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ndo maana yake na watu saiv wameshaanza training km c kazi!
   
 4. K

  KENNY ROGERS Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale waliokosa nafasi jaribuni tena watu wameshaanza kazi rasmi toko tarehe 27.2.2012
   
 5. r

  rmwaka Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani huo sio ukweli au inategemea na post but latest updates nilizonazo kutoka kwenye source zinazoaminika tanapa ni kwamba kwa sasa wako kwenye process za shortlisting, applications ni nyingi mno and they have to record each n every application kwenye database. msikate tamaa kama una vigezo utaitwa tuu
   
 6. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 599
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Ndugu yangu watu washaanza kazi kitambo Nina mdogo wangu ameshaanza
  Mjini mipango
   
 7. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Walioanza kazi ni Procurement Technicians tu hao wengine endelea kuwa mpole taratibu za ajira zinaendelea zaidi ya watu elfu kumi wameomba hizo nafasi unaweza ukawaza kazi ilivyo ndefu.
  Ushabiki usipewe nafasi mbele ya ukweli.
   
 8. p

  priscilla Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ma dragon siku zote kwenye jamii hawakosekanagi,mnafikiri kukatisha watu wengine tamaa ndo Mungu kashindwa,hlo halipo na haitakuwepo
   
 9. b

  barbarian New Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman me natafta kaz tra, tpa au tpdc kuna mch0ng0 wwte?
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,045
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ukiona manyoya????
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,885
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 135
  kazi hazipatikani kirahis hivyo...
   
Loading...