Kama unatafuta kazi jaribu kuingia hapa inaweza kukusaidia

Join Date : 4th March 2012
Posts : 1
Rep Power : 0

Naona umeanza kwa kuwa kuwadi wa hawa jamaa
 
jamani kwani hawa watu wapo serious au ndo wizi wenyewe,mi najionea nyotanyota tu
 
Watu wengine na thread zao so emazing, ukitukanwa huku utaanza kulalamika. Lkn kuwa seriaz peaple are so serios lookin for immeddiate job and not deal deal with scam and spam
 
jamani kwani hawa watu wapo serious au ndo wizi wenyewe,mi najionea nyotanyota tu

Hey guy, facebook ina wateja zaidi ya 750 million, its cash in the bank is about 400$ billion lkn hawajaanza kugawa feza sasa hii wazzub ndo waanze kugawa hela hebu cmama, fikiri kisha chukua hatua
 
huyu naye ashakuwa kero na hiyo wazzub yake kila sehemu wazzub mbona wewe haijakutoa kimaisha
 
Back
Top Bottom