Recent content by princessita

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji haeleweki jamani!

    Mahaba niue
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

    Ohh my God
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Jamani basi ngoja niombe huo uwalimu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Habari wana jf mimi ni binti mwenye umri wa miaka 27 natafuta kazi arusha nina degree ya socialwork kutoka chuo kikuu cha dar es salaam kwa yoyote atakaeskia plss anijuze asanteni.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni bora kudanganywa kuliko kijidanganya. Uonekane mzuri

    I wonder wanaume wengine wanapenda kuponda ma xgirls wao ili wanonekane wazuri wao ukichunguza kwa makini utagundua anaemponda x wake ujue bado anampenda na anamuonea wivu sio vizuri mjirekebishe usisafishe jina kwa kumpa mwenzanko sifa mbaya ili aonekane waovyo we ndo wamaana utavuna unachopanda
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ndugu NAPATA WAZIMU

    Ahhhh jamani duniani hamna jema kweli
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namshangaa simuelewi huyu mwanaume

    Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo. Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kushika mimba

    Asante ntajitahidi ila kwa sisi tuliolewa kuzuia siku zote hiyo kutokufanya mapenzi mpaka ya 13 ni. Ngumu au nijifanye naumwa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Nataka kujua siku za yai kupevuka nimeolewa ndio nataka kuzaa sasa siku za hatari kutokana na mzunguko wangu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Habari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kushika mimba

    Habari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32 naomba kujua siku za kushika mimba ni zipi?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Folic acid inaweza kuzuia matokeo ya mimba kuwa accurate?

    Missing my period dizness leo ndo kama naumwa vile ila nimepima sina kitu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Folic acid inaweza kuzuia matokeo ya mimba kuwa accurate?

    Nimekua nikitumia folic acid kabla sija concieve ila nahisi kuwa mjamzito ila nikipima matokeo ni negative je folic acid inaweza kuwa sababu ya matokeo kuwa not accurate labda dawa imejaa kwenye mkojo?au
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kufanya ngono bila kupizi tatizo n nini

    Hahahahahah
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hataki kuni expose kwenye social medias and network

    Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke ananijia juu akiziona nimemuweka na mm namuweka kwa mapenzi to be proud of him ila ye hataki anasema ntoe...
Back
Top Bottom