Nataka kushika mimba

princessita

Member
Aug 19, 2013
21
6
Habari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32 naomba kujua siku za kushika mimba ni zipi?
 
Habari waungwana nataka kushika mimba mzunguko wangu ni wa siku 28 hadi 32 naomba kujua siku za kushika mimba ni zipi?

Kuwa makini na siku ya kwanza ya hedhi,hesabu siku 13 kuanzia siku yakwanza ya hedhi, kutana na mwanaume kuanzia hiyo siku ya 13,lengo hasa iwe siku ya 14 hadi siku ya 15! Kama uko sawa utafanikiwa juu ya hilo!
 
Asante ntajitahidi ila kwa sisi tuliolewa kuzuia siku zote hiyo kutokufanya mapenzi mpaka ya 13 ni. Ngumu au nijifanye naumwa
 
Asante ntajitahidi ila kwa sisi tuliolewa kuzuia siku zote hiyo kutokufanya mapenzi mpaka ya 13 ni. Ngumu au nijifanye naumwa

Hapana lengo hapa si kuzuia! Ila tu ni kwamba kama unataka kushika ujauzito hakikisha ndani ya hizo siku haukosi mechi,we kwenye hizo siku nyingine endelea tu hamna shida!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom