Recent content by princes Nicah

  1. princes Nicah

    Mrejesho: dem niliyempata Ud

    Subiri tu siku atakayo ku ng'ang'ania shingo yako..ukabwe uhisi kufa au kufa kabisaa
  2. princes Nicah

    Msaada: Nataka kuangalia approval results ya TCU, naomba mnielekeze

    Habari wakuu... Shida Yangu nataka kujua jinsi ya kuangalia ile approval result ya TCU mimi ni diploma holder... Nikiandika index number yangu inaniambia not found... Sasa ningependa kujua kama diploma Holder tuna sehemu yetu ya kuangalizia...[emoji120]
  3. princes Nicah

    Natafuta mpenzi baadae awe mchumba

    Nipo ila kwa hiyo ID yako.. Mmmh hapana me nataka matunzo had ya Ada
  4. princes Nicah

    Ukweli mchungu kwa wafuasi wa Trump, Hillary kashashinda uchaguzi

    Trump akishinda naomba atimize ahadi yake ya kutawala bara la Africa sababu kuna nchi mtu imesha mshinda huku
  5. princes Nicah

    Je, mkojo huondoa stress za mapenzi tu?

    Huhuhuhu asikwambie mtu yan kojoo [emoji108] na mishumaa ndio habar ya mjini[emoji1]
  6. princes Nicah

    Natafuta kibarua mkoni Mbeya

    Vigezo unavyo kwanza...[emoji35]
  7. princes Nicah

    Natafuta kibarua mkoni Mbeya

    Reception nipo vizur sana
  8. princes Nicah

    Kama umewasha computer yako ila haijawaka basi fanya hivi...

    Vp kama computer (PC) inawaka vizur ila sasa ikizima kuja kuwaka ni kasheshe nyingine
  9. princes Nicah

    Natafuta kibarua mkoni Mbeya

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza... Mimi ni kijana mwenye jinsia ya kike mwenye umri wa miaka 22..Ni mkazi wa iyunga mbeya.. Elimu yangu ni diploma ya ugavi (procurement and logistics)..Nipo tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote ya mbeya mjini... Kwa mawasiliano 0716402298 au...
  10. princes Nicah

    Kuna diploma holder kapata mkopo

    Inabidi kesho tuamkie huko huko heslb... Maana Hamna namna
  11. princes Nicah

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Nitaenda huko huko kwa ndalichako[emoji35] [emoji35]
  12. princes Nicah

    Msaada namna ya kuomba transfer kwenda chuo kingine

    Mwisho tarehe ngapi? Hizo transfer
Back
Top Bottom