Wana JF hapa sijaipata vizuri hii 'thread'. Hivi huu ni mkakati wa kukidhoofisha chama au nikuufahamu utumbo wa hao tuliowapa ridhaa ya kukisimaia chama then wawajibishwe kwa usaliti? of coz kama kweli hii ndo hali halisi ya CDM what next if no measure to be taken!! Lets be keen kuna watu...
Huu ni muendelezo wa kazi ya ukombozi wa wanyonge, Watanzania tutakuwa Huru tu coz Makamanda tutaipigania nchi yetu hadi kieleweke.Mwisho wa udharimu,ulevi wa madaraka,ufisadi na kila aina ya uchafu wa hii Serikali ya CCM ni 2015.
Big up saana pipoooziiiiiiiiiiiiiiiii............................
Utetezi wa TL ndo huo hapo uko professional, kwa wale wenye mashaka na uwezo wake ktk tasnia ya sheria basi waichambuwe hii report mapema kabla ya hukumu kutolewa na kamati. vp kama TL atashinda, kuna namna yoyote ya kuiwajibisha serikali ya JK juu ya huo UDHAIFU ama jibu ni 2015?
ZZK ni bomu hatari sana ktk taifa letu hili changa linalohitaji falsafa za kimapinduzi ili kuvuka hatua moja mbele ya kimaendeleo. Maana nia na upeo wake mdogo ewa mawazo umeshadhihilika wazi kwamba hana lolote ktk mapambano dhidi ya udhalimu na ukandamizi wa sirikali hii ya babamkwe wake JK...
Kila mgomo unaotangazwa kwa maslahi ya watumishi au kundi fulani ktk jamii siku zote serikali hii hutoa tamko kuwa si halali kisheria japo lengo la mgomo ni halali. Nashindwa kuelewa uhalali wa aina gani unaohitajika ili haki ipatikane. Walimu komaa hadi kieleweke japo kwa % fulani. tuko pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.