Recent content by prince uweri

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mfungwa anapofariki kabla ya kifungo nini hufanyika?

    Ndugu nisaidieni kidogo nini hutokea pale mfungwa anapofariki akiwa bado anatumikia kufungo chake. Je ndugu zake hupewa taarifa pamoja na mwili au kuna taratibu gani?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa wilaya ya Singida, Dr. Erick Bakuza aachia ngazi

    Kazi kwa mazoea kutawamaliza hawa watu jamani. Huko nyuma mambo yalikuwa bora liende bila uwajibikajika. kwa awamu hii sorry. sasa huyu anaetakiwa kwenda na kasi ya jpm halafu analeta nyodo si aende aanzishe kadispensari kake aajiri halafu na watu wake wamfanyie kama alivyokuwa anaifanyia...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 4G wana maswali magumu sana. Wazazi jiandaeni

    Wangu ana miaka saba na mamake anataraji mdogo kama miezi miwili ijayo. Akiwa na ufahamu wa kwamba mama ana mtoto tumboni maswali huwa mengi meng i sana , lakini juzi alimuuliza mamake eti alikunywa dawa gani huyo mtoto akaingia huko tumboni. Mama mtu hakuamini alicho sikia akaisha kucheka...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Milinga: CCM haitumii miujiza kutawala; ashangaa Mbowe Div.O kuongoza PhD kimiujiza!

    Dgo anamdhalilisha sana marehemu mama yake!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Rais Magufuli alikuwa hana taarifa za madudu ya NSSF wakati anamteua Dau?

    Kwani kawafanyia nini waislam.....
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kuikumbatia Morocco Tutaumia Baadae!!

    Kuku kala mchele jioni kaliwa n wali!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kitillya na wenzake wataka upelelezi uharakishwe

    Tuvumilie tu. Yale marange na mavogue sijui yana hali gani huko kwenye mahekalu yao.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Rushwa sasa hivi ndiyo imepamba moto kuliko hata awamu zote za utawala zilizopita

    Hili jambo ni la kweli, sasa cha kufanya hatujui. Juzi nimeenda tra kulipia mapato baad ya kufanyiwa wanachokiita re-assesment (makadio ya mara ya pili) kwamba makadirio ya mwaka juzi, jana na huu walikosea hivo nikatakiwa kuongeza malipo kwa kile kiasi kilichopungua miaka mitatu nyuma...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mwenza wako anapokataa kufunga ndoa lakini anataka muendelee kuwa pamoja nini maana yake?

    Ni kweli kabisa kwa sabau mshikaji baada ya kubanwa sana na familia yameibuka mengine kuwa huyu mdada ni mara ya nne kutoroka kwa nyakati tofauti tofauti n kurudi lakini jamaa alikuwa akimalizana naye kimya kimya. Mbaya zaidi mshikaji anaona kama bado anastahili msamaha. mkuu sasa sijui huyu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwenza wako anapokataa kufunga ndoa lakini anataka muendelee kuwa pamoja nini maana yake?

    Hapana mkuu siyo mimi ni jamaa yangu wa karibu sana. Sasa cha ajabu sana ni kuwa jamaa amefikia hatu anaonesha dalili za kulegeza uzi make familia ilipiga marufuku kwa wanafamili wote kutojihusisha na yule mdada. Lakini juzi mshikaji kaaja kwao anaomba kuitisha kikoa ili familia ione namna ya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwenza wako anapokataa kufunga ndoa lakini anataka muendelee kuwa pamoja nini maana yake?

    Wakuu nisaidieni mawazo kidogo, Nina jamaa yangu hivi majuzi kalazimika kurudisha pesa za michango ya harusi yake baada ya mwenza wake kugoma kufunga ndoa. Ishu iko hivi jamaa anafanya kazi Shinyanga maeneo ya Kahama lakini familia maana ya mke na watoto wake wawili wanaishi Mwanza ambako...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa vs Jakaya Kikwete. Nani zaidi katika siasa?

    Well said. Ki ukweli mimi binafsi huwa najiuliza mh.Lowasa alikuwa anatumi mbinu gani kule jimboni kwake kuweza kuwa mbunge wa zaidi ya vipindi viwili. Huyu mzee uwezo wa kujenga hoja ni sifuri kabisa naamini aliishi kwa kubebwa bebwa sana na matumizi y vipesa pesa kitu kilichoendelea mpaka...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mikoa maskini ndio inashabikia UKUTA, Kilimanjaro wako kimya!

    All in all wachaga wataendelea kuwa leaders hata kama hamtaki. Hamna kabila lolote inchi hii lenye ujasiri wao na ndio maana pamoja na vita vyote ya miaka nenda rudi lakini siku mbowe anaachia ngazi upinzani inchini ndo bye bye.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kilio cha maisha magumu: Je, tulikuwa tunategemea vipato haramu?

    i Hahhahaaaaa eti tanzania imekwishaendelea.......hii comment imenifurahisha kwa kweli.
  15. P

    JamiiForums Tanzania TRA yashinda kesi ya Tshs bil 38 dhidi ya VIP ya Rugemalila

    Unakimbizwa na nani? si umalizane nae halafu utulie ndo uje humu na uzi unaojitosheleza?
Back
Top Bottom