Recent content by prince songoroka

  1. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na mkutano wa Comrade Polepole

    utaelewa ukitafakari
  2. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Nini nifanye ili nisome chuo bila ya ku-resit mtihani?

    Habar za leo ndugu zangu. Mwaka 2017 nilihitimu kidato cha nne na matokeo yangu hayakuwa mazuri kiasi cha kuridhisha. Mara baada ya kupata matokeo ya alama ya D tatu, nilikata tamaa na kushindwa kufanya namna ya kujiendeleza. Katika moja ya kuongea na watu nikaelekezwa chuo ambacho nilisoma...
  3. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania ALISON (website)

    Habar za usiku wakuu.... Napenda kuuliza hvi ile website ya alison ambayo inatoa course ladhaa za diploma na certificate, je vinaweza kuwa vinatambulika na TCU?
  4. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tatizo nini?

    Habari za jioni wakuu, Napatwa na changamoto ya malalamiko kila ninapokutana na mwanamke kimwili analalamika tumbo linamuuma chini ya kitofu. Na afadhali hata angelikuwa mmoja lakini kila ninaekutana nae nikimaliza tu kusex nae akikaa kwa muda wa masaa 3 ananiambia tumbo linamuuma. Tafadhali...
  5. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Ahsante...
  6. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Nashukuru kaka!! Ila nimejifunza kwa kias cha kujifunza moja ya changamoto za mahusiano!!
  7. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Kiuhalisia mm nina elimu kumshinda, na wakati nipo nae nilikuwa sijapata kazi ila kwa sasa nina kazi ila kama ulivyosema tamaa ndy inawaandama hawa wenzetu wa kushoto
  8. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    I believ so!
  9. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Nahitaji hilo
  10. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Sisomesh ila nilipaswa kumsubiri amalize masomo yke
  11. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Usimwamini Mwanamke asiye mama yako

    Tatzo kinakuja pale ambapo utamvumilia kwa kuhisi ni yule uliepangiwa na Mungu kumbe ni yupo mpigaji ambaye aliigiza kaletwa na Mungu .. Inahitaji akili mingi!!
  12. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    wakuu naomba kupata ETS2 ambayo itakubali kucheza bila ya kuscratch kwenye hyo pc yenye specification hzo hapo
  13. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    sina na siitaki kwa millisecond...
  14. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Hatari za kuchelewa kuoa

    sijawahi kufikiri kama nitapitisha umri wa miaka 25 bila ya kuoa....... zenu dua
  15. prince songoroka

    JamiiForums Tanzania Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

    me nataka wa usajili wa E
Back
Top Bottom