muda kama saa 3.00 nait bek 3 nyumba ya jiran kaniletea elf 80 majalala mim kanambia atanipoza 20 nimuifadhie iwe cr ye2,je kwanin anipoze,nawaza nimpge changa naic kaiba.
teh teh teh kbongobongo kizaz cha sasa(langa,witness,shaa)KISWANGLISH ndo mpango,so mambo ya semantic,morphology na pronounciation nayapata poa na kuna makosa ya makusud ktk uandish(droping some letters deliberately*in poem n poetic license na kmtaa kiswanglish.upo
sister mwanadamu alipewa maamuz yatokanayo na utash wa akili yake fahamu hayo n maamuz yake na hata siku moja hucjtwike mzgo wa kujiona mkosaj na mdhaifu kwa kosa uclolifanya hujamkosea lakn n maamuz yake na ukumbuke bnadamu twaweza amua kutokana na msukumo wa muda sa huwez jua alikuwa na...
sasa inamana uzalendo kwa taifa n kwaajili ya wanafunz watakaopata 1,2 kwa art na 1_3 kwa science?mimi nilijua ni zoez kwa kila kijana atakaehitimu.na vp kuhusu majina ya waliochaguliwa tcu.mwenye taarifa ya tamko la tcu kuhusu ili
bora ya hao kuliko watanzania wezangu,hofu ingezidi kama thomas angekuwa kamwagia hamisi,ama seleman kamwagia chale.diplomasia inavurugwa ila my home need to have peace and brotherhood
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.