Wasikutishe, hii inaitwa pumbu erosion, wengine wanaita pumbu jero. Mara nyingi inawapata watu wakiwa shule, au chuoni kabisa. Waasisi wa hili jina la Pumbu jero naisi ni Pugu boys, maana ilawapiga karibia ya robo tatu ya shule lakini ni zamani sana, ila shule nyingi za boy's uwa wanapata.
Hii...
Sasa tathibitishaje kwa mtu asiye amini.
Mimi takujibu katika mwili wenye uthibitisho kua ukifa tunakuzika makuburini, ila kama ukifa polini basi utageuzwa kua kinyesi cha fisi, kama ni baharini basi utakua kitoe cha samaki.
Sasa unataka nithibitishe kitu usicho kiamini. Wewe uamini kuhusu roho sasa tathibitishaje kitu usicho kiamini.
Aumini katika Mwanzo ila unaamini katika katikati, uamini katika chanjo ila unaamini katika muendelezo. Sasa kama uaminini katika chanzo, kwaio unaamini kuanzia ulipopata ufahamu...
Yaani ni sawa uwe ndani ya tumbo la Mama yako alafu uombe kithibitishiwa mambo ya nje kua umeumbwa kwa sex n.k. ila mtu ambaye upo nje ya io matrix anaelewa kila kitu.
Tupo ndani ya matrix ya mwili kwaio mambo ya roho yapo ila uwezi kuyafamu kwasababu , we trapped kwenye mwili huu, ndio maan...
Sasa wewe na Ng',ombe mnatofauti gani? Leo wewe unamaamzi ya kumchinja ng'ombe wako, ila na wewe kuna mtu anamaamuzi ya maisha yako ufe leo au kesho.
Mfanano wako wewe na Ng'ombe. Wote hamjui mkifa roho zenu zinaenda wap? Wote hamfamu dakika mbili mbele yenu kipi kitatokea. Wote ni empty set...
Mtu anaye hoji kua Mungu yupo ni wakuonewa huruma kabisa, maana amekwama kwenye ancient civilization.
Watu wametoka kwenye Imani tofauti kuanzia Hakuna Mungu- Kuna Miungu mingi- Kuna Mungu mmoja (refer safari ya wana wa Israel Mungu anadhiirisha kua ndio Mwenye Nguvu katika Miungu yote). Kweli...
Haya Mawazo yako yote ni kweli kabisa asilimia 100 kua tuna asili ya Mungu. Ila huu uwezo tuliupoteza baada ya kuingia dhambi ya asili kupitia Adamu. Kwaio wote tunazaliwa tukiwa tumeshaupoteza utukufu wetu wa Mwanzo, kwaio tunazaliwa sio kama warithi Bali watumwa wa dhambi, ndio maana tunaumwa...
Wote ni washenzi, hakuna aliyevaa sahihi kulingana na utamaduni wangu. Yaan Karne ya 21 bado unaangaika na mavazi. Hivi usahihi wa mavazi umeutoa wapi bana, hakuna utamaduni ulio bora sio mzungu au sio mwarabu. wote utamaduni wao ni wakishenzi ukilinganisha na utamaduni wetu.
Kwaio acha kuiga...
Hakuna kitu chochote, kama yanacheza sana nenda hospital kaonane na daktari.
Ila kama unaamini ni uchawi basi itakua hivyo. Kama unaamini ni majini yapo karibu yako yanakua ivyo, kama unaamini ndugu yako anakusema inakua ivyo. Imani ya vitu vya kijinga ni kujiumiza kichwa bure na kuelekea...
Kwanza mimi sijasoma theology. Nasoma biblia kujifunza tu.
Documentary Hypothesis
nimeiosoma ila ni mawazo ya wanadamu tu hasa wanatheology wanaotumia hekima za kibidamu yenye kikomo, ndio maana kuna mambo mengi watu wameyatambua mpaka kwenye ujio wa Yesu alipokuja. D hypothesis kama ni kwel...
Unajua Ndugu.
Kwenye umri wa Isaka na Ibrahimu, inaweza kuwa changamoto kama isaka alikua bdo mchanga wakati wa kutolewa kafara.
Ukisoma Mwanzo sura 21.
21:8 inaonesha mtoto alikua akaachishwa kunyonya. Hii inadhihirisha mtoto alikua sio mchanga.
21:14 Ismael na mama yake wanatoka ili isaka...
Sasa Ndugu.
Unaamini kulingana na biblia Ismael alibarikiwia, alizidishiwa na ahadi nyingi tu alipewa na nikweli hizi baraka alizipata
Kwanini usiiamini hio hio biblia iliosema, isaka ndio aliyetaka kutolewa kafara? Kwanini usiiamini hio hio biblia iliyosema mtoto wa ahadi ni isaka na upo...
Habari za saizi ndugu zangu
Hii ni barua ya wazi kwa wizara ya Ujenzi na Uchukuzi chini ya Prof. Makame M. Mbarawa.
Tuanze na history kidogo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. TBA ilianzishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.