Sijua kama ni mbaya ama ni vizuriUja waona mjini?
Tatizo lake mwarabu ni ubinafsi uliopiliza.Ukweli usemwe tu , tamaduni za kiarabu za mwanamke kujisitiri ni bora sana , kwa kuheshimisha hadhi na utu wa mwanamke.
Dah : 😀😀😁Wote wamekaa wametulia wanachati ila wew ulioko buza kanisani ndo unateseka😂😂🙌
😁The universe didnt create clothes.
If it didnt then dont take it.
AHSANNTE SANA MKUUTatizo lake mwarabu ni ubinafsi uliopiliza.
Kuna rafiki yangu daktari alienda Saudi Arabia,huko ukiwa na Imani yako nje ya uislamu huwezi kuruhusiwa kuabudu. Kwa lugha rahisi hakuna uhuru wa kuabudu nje ya uislamu. Jamaa alikuwa anasali hotel tu chumbani kwake.
Na hiyo ndiyo context ya Uzi/mleta mada.
Kuhusu mwanamke kujistiri binafsi naona ni utamaduni mzuri,ila naomba kujua,point ya kufanya hivi ni nini? Maana wanaume wa kiarabu Wana mambo ya hovyo sana. Hawaishi kuwaka tamaa.
Hata wahaya , wachaga na nk ni wabinafsi pia , uliwaonea wapi hao waarabu wakiwaka tamaa.Tatizo lake mwarabu ni ubinafsi uliopiliza.
Kuna rafiki yangu daktari alienda Saudi Arabia,huko ukiwa na Imani yako nje ya uislamu huwezi kuruhusiwa kuabudu. Kwa lugha rahisi hakuna uhuru wa kuabudu nje ya uislamu. Jamaa alikuwa anasali hotel tu chumbani kwake.
Na hiyo ndiyo context ya Uzi/mleta mada.
Kuhusu mwanamke kujistiri binafsi naona ni utamaduni mzuri,ila naomba kujua,point ya kufanya hivi ni nini? Maana wanaume wa kiarabu Wana mambo ya hovyo sana. Hawaishi kuwaka tamaa.
Hahaha oya mkaldayoNyuzi za Busu la Kenge hizi
Niliowaona uarabuni.uliwaonea wapi hao waarabu wakiwaka tamaa.
SawaNiliowaona uarabuni.
Nilipata binti wa kiarabu namna hii, nikaimbisha akakubali ila aligoma kuingia guest au hotel siku moja nikampeleka geto la mshikaji nikamdanganya ni kwangu.Ukweli usemwe tu , tamaduni za kiarabu za mwanamke kujisitiri ni bora sana , kwa kuheshimisha hadhi na utu wa mwanamke.
ChaiNilipata binti wa kiarabu namna hii, nikaimbisha akakubali ila aligoma kuingia guest au hotel siku moja nikampeleka geto la mshikaji nikamdanganya ni kwangu.
Itikadi ni ile ile ila tamaduni ndio tofauti.
Wote ni washenzi, hakuna aliyevaa sahihi kulingana na utamaduni wangu. Yaan Karne ya 21 bado unaangaika na mavazi. Hivi usahihi wa mavazi umeutoa wapi bana, hakuna utamaduni ulio bora sio mzungu au sio mwarabu. wote utamaduni wao ni wakishenzi ukilinganisha na utamaduni wetu.Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa.
ILA,
Huyu wa kulia akienda kwenye nchi ya ya huyu kwanza hawezi kukaribishwa akiwa yuko hivi lakini pia hata pata uhuru wa kuendeleza utamaduni na itikadi aliyoacha nyumbani na akifanya maandaamno kuimiza ifatwe tamaaduni yake anajua atakochafanywa🤣
View attachment 3403010
ALL IN ALL TUHESHIMIANE KWA TOFAUTI YA TAMADUNI ZETU MAANA TUMEUMBWA KUTEGEMEANA, HII NDIO ASILI YA UNIVERSE KIUJUMLA ILA ITIKADI ZETU ZINATUPOTOSHA.
wa nani hao? nimecheka sana, you ahve made my day!Ngoja waamke.
Vitu vingine vyakijinga kwel mana wenyew wanaonesha hawana tatzo lolote wametulia tu ila sie huku ndo tuanze kuwajadili..Dah : 😀😀😁