Recent content by primi massawe

  1. P

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro apangua maRPC wa mikoa minne, yumo wa Morogoro

    Ni jambo jema kwenye utendaji wa kazi
  2. P

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Huku kibamba kibwegere sisi ambao tupo zaidi ya mita hamsini utaratibu ukoje?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mbeya hawajui kabisa nyama choma

    We nenda ifakara in bora mbeya,wasukuma wanachoma nyama inakuwa nyeusi balaa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kutosajili laini ya Simu kutozwa faini ya Tsh milioni 5 au kifungo cha mwaka mmoja jela

    Wazee ambao wana simu huko vijijini na hawana kitambulisho cha taifa wafanyeje sasa,
  5. P

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

    Unakaribia kufungwa jela
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa Wilaya ya Tunduru - Ruvuma

    Vipi Musiba yeye bado yuko pending?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Umaskini bado unaendelea kuitesa mikoa pendwa ya Mwanza na Geita

    Takwimu naona haeajapita vijiji vya Kilimanjaro, uchumi was mtu mmojmmoja ni wa chini sana
  8. P

    JamiiForums Tanzania Maajabu haya! Faru sasa kuhamishiwa hifadhi ya Buligi-Chato

    Itasaidia kukuza utalii kwenye hiyo mbuga
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, Arusha na Moshi: Maeneo ya kumenya bata kisawasawa

    Bukoba,mwanza Arusha pako vizuri
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, Arusha na Moshi: Maeneo ya kumenya bata kisawasawa

    Tatizo LA moshi wanalala mapema sana,njoo Tabata huku dar no shida
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza, Arusha na Moshi: Maeneo ya kumenya bata kisawasawa

    Hanna kitu hapo dom
  12. P

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kuachana na "gari" duniani

    hapa kwetu dar leo kuna foleni sana naona hii siku siyo muhimu kwao.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, jimbo la Ukonga unaweza kupambana kisiki hiki cha UKAWA?

    si kuna goli la mkono?
Back
Top Bottom