Recent content by Prihu

  1. Prihu

    JamiiForums Tanzania Yahusu wafufuao wafu na misukule

    haahaaaahaaaa ni kweli kabisa
  2. Prihu

    JamiiForums Tanzania Diwani Nyang'hwale avuliwa madaraka baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na mwanafunzi

    kumbe nawe ni mmoja wao wapenda dogodogo..haya tuambie si kosa kivipi
  3. Prihu

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

    pole Sitti Mtemvu kata rufaa mwaya maana mko wengi
  4. Prihu

    JamiiForums Tanzania Majina ya watoto wa kike yaliyopoteza mvuto

    we kiboko....haya majina maarufu sana kwa kipindi hiki..ukiyataja razima usisimke
  5. Prihu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaojichubua ngozi mnaniudhi na mnakera mno

    Na hao madume wanaojichubua?au hamuwaoni?
  6. Prihu

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kutisha, amkata mwanawe nyeti

    huyu aliyemkata aseme ukweli nyeti hizo alikuwa na nia nazo gani.....asisingizie likojozi.Huuu ni uuwaji,mi ningekuwa mtunga sheria kila afanyaye unyama wowote adhabu yake iwe ileile.....Ova
  7. Prihu

    JamiiForums Tanzania Polisi yafyatua risasi, mabomu ya machozi Ubungo kuzuia vurugu

    Kwa linachoendelea kwa sasa ccm yapaswa kujiangalia upyaaaa..na ijipange kukubali kuwa mama wa kambo
  8. Prihu

    JamiiForums Tanzania Mh Lema umetudharau sana wananchi wako

    Ulitaka akajenge nyumba ya tembe au
  9. Prihu

    JamiiForums Tanzania Polisi yafyatua risasi, mabomu ya machozi Ubungo kuzuia vurugu

    Inasikitisha sana jamaa kapigwa kama mwizi na kujifucha kwenye ntaro...ccm wajifunze Tanzania sio ya 47 wananchi wameamka hawataki kuburuzwa tena
  10. Prihu

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Vijana waliokosa mikopo hawezi kukutana nao...anajua wana hasira na wanaweza kumtoa nduki....ndio maana hataakija kuhutubia taifa anakimbilia kwa wazee ambao wameshajichokea.
  11. Prihu

    JamiiForums Tanzania ESCROW ililenga Muhongo na kuangusha serikali

    kama ulibuniwa mbona anawatimua watu kazi?
  12. Prihu

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa zatokea Kariakoo, Dar

    Mhuu sio kweli bhana wako busy na mambo yao....unataka wafanyeje ili ujue ni wanaume wa shoka?acha dharau bhana
  13. Prihu

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    kwa hili kamuonea Tibaijuka....
  14. Prihu

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mb. wa Karagwe na Mjukuu wake wafariki ndani ya siku mbili, Soma kisa hiki

    Poleni sana wafiwa Mungu awape uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu
  15. Prihu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    poleni sana wafiwa...na apumzike kwa amani
Back
Top Bottom