Recent content by Priddim

  1. Priddim

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya 'jaribio kubwa la nyuklia

    Tutamshugurikia tu huyo Korea Kaskazini
  2. Priddim

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais

    Huyu mtu atashughurikiwa
  3. Priddim

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais

    USIWE na Hofu wala wsiwasi serikali ipo ata hapa JM tulieni tupeni Muda atajibu tu na itakuwa somo na fundisho kutoa taarifa isiyo rasimishwa....Tunakumbusha sheria ya makosa ya kimtandao ipo inafanya kazi...Mchana mwema ninyi nyote
  4. Priddim

    JamiiForums Tanzania Natetemeka/Kigugumizi nikiongea Kiingereza

    Ahaha viloba
  5. Priddim

    JamiiForums Tanzania Mutungi, CCM na Rais Magufuli; hii kweli hamuijui?

    Udicteta
  6. Priddim

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama atoa mwezi mmoja kwa wafanyakazi wa wizara yake kuhamia Dodoma

    Dah mbona wanakurupuka hivi...vitendea kazi vimeandaliwa?? au ndo kusema serikalini ni Manual work nyingi na paper work
  7. Priddim

    JamiiForums Tanzania UKAWA mwambieni Lowassa atimize ahadi yake ya kumleta Daudi Balali

    Povu linakutoka usikii raha bila kutaja jina la Lowassa
  8. Priddim

    JamiiForums Tanzania Lady JD ajichagulia Jeneza la kuzikiwa

    Ndoa imemchanganya sasa anaona bora afe tu.
  9. Priddim

    JamiiForums Tanzania Mkosamali amlipua Henry Shekifu bungeni

    Zee alilidhiki lilishakaa serikalini muda sana,kutoka usoja,ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa,sasa libunge lool!!
  10. Priddim

    JamiiForums Tanzania Clouds Entertainment Wasanda tena kwa Mh. Sugu

    Corolado in America hiyo bangi imehalalishwa inaingiza kipato likubwa sana..Tz vipi? Sugu ni sugu tu huwezi shindana nae hata siku moja,tukiongea ukweli walisanda na pesa wakampa.
  11. Priddim

    JamiiForums Tanzania ACT Tanzania, ni taratibu gani mmezifuata kumfukuza mwenyekiti wenu Limbu?

    Ahahaha vituko bado vinaendelea,mwee huu mwaka huu raha sana,
  12. Priddim

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

    Wanamwita sugu, Tujumuike hapa wale wa mbeya mjini,tujadiri mema ya Sugu Rais wa Mbeya Mjini
Back
Top Bottom