Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
kwa suala la barabara za lami na ujenzi wa madaraja kwa kweli nampa big up. mnyongen lakin anapostahili apewe jaman
Sugu ametumia ela za jasho lake na kuweka hizo computer, hizo barabara na madaraja ni ela za wananchi mimi na wewe