Recent content by prettydiva

  1. prettydiva

    Sikiliza na download wimbo mpya wa Ali Kiba - Mwana

    kwa mara ya kwanza umechezwa clouds tv kwny kipindi cha clouds tv 360..thn nkausikia kwenye power breakfast kwa uzuri,japo clouds media wana mapungufu yao ila wamemsupport kiba na wimbo ni mkaliiiiiiii!!!
  2. prettydiva

    Kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya mbagala.

    asante kwa kunisaidia mimi nahisi sio mzima kichwani huyo,yani amenikera sana.
  3. prettydiva

    Kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya mbagala.

    asante sana sanaaa mpendwa natumai furaha ya kuwasaidia itatimia na ilikuwa haja ya moyo wangu kabla sijaondoka duniani niwape sehemu ya kile nilichonacho...barikiwa sanaaa!
  4. prettydiva

    Kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya mbagala.

    nimejisikia kwa sehemu ya vitu na fedha nilizonazo nitumie pamoja nao kwani wanatamani kucheka na kufurah kama wengine ila sisi tumewasahau kumbuka hawakuomba kuwa hivyo walivyo.
  5. prettydiva

    Kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya mbagala.

    mm nahisi wewe kichwani mwako hazikutoshi,sasa hapa umeona nmeuliza pumba hadi ujibu utumbo wako huu..kuwa mstaarabu kwa anayekuja na issue ya ustaarabu,natumai umenielewa.
  6. prettydiva

    Kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya mbagala.

    Habari...samahani nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye kujua kituo cha kulelea watoto yatima kwa huku mbagala anijulishe,nmesema mbagala sababu naishi huku nina wiwa moyoni niwe sehemu ya furaha na tumaini kwao....asanteni sana!
  7. prettydiva

    Msaada juu ya kujiunga jeshi

    Habari wadau. Nilikuwa naomba kuuliza kuna taratibu gani za kufata kwa mtu anayetaka kujiunga jeshi akiwa na degree moja,na pia kuna tofauti gani kati ya JKT & JWTZ. Please nisaidieni.
  8. prettydiva

    Msaada kuhusu kujiunga jeshini

    Habari wadau...nilikuwa naomba kuuliza hivi ni hatua zipi za kufata kwa mtu anayetaka kujiunga na jeshi la tanzania,na kuna tofauti gani kati ya jkt &jwtz?...please nisaidieni.
  9. prettydiva

    Mahusiano Clouds TV

    kipo poa sanaaaa na nakipenda sana wanandoa hao wanaitwa mwijaku & rachel,wanavaa uhusika haswaa na katu hujutii kukitizama..wivu wa huyo mwanaume unanifurahsha sana so nkiwa na stress nacheka sana,napenda kutazama jumapili sa 1.30 usiku marudio yote ya siku 3 yakiwa mfululizo...bila kumsahau...
  10. prettydiva

    Le Mtuz this is Too Low for You

    umeona enhh mamii,watu wanamlaumu wema ila hivi dunia ya sasa hela ilivyokuwa ngumu kutoa mil 13 sio kitu rahis,kajala akumbuke fadhila za wema walikuwepo wapi wakina wolper,penny na wengne kwa nini hawakutoa hzo hela??..utu kwanza kajala.
  11. prettydiva

    Le Mtuz this is Too Low for You

    alitoa wema mwenyewe hata kama alihongwa ila zilikuwa chini ya himaya yake so uamuzi wa kumlipia nia ushujaa wake binafsi..kama walipaji walikuwepo si wangemtolea walisubiria nini??...
  12. prettydiva

    Nimeulazimisha moyo wangu umekataaa

    Si kwasababu hujaamua kupenda,na unajua yupo anayempenda ndo imekuwa ngumu kupenda mwingine.
  13. prettydiva

    Naombeni ushauri juu ya hili!

    Pole sana kaka,ila hapo ukweli unajionyesha kabisa kuwa huyo dada hakupendi na mwisho wa cku ukilazimisha hamtakuwa na mwisho mzuri...cha kufanya wewe achana nae tu utapata mwingine,ila na wadada wengine sijui wakoje yan unapata bahati ya kupendwa kiasi hiki bado unaleta ujinga,"kwenye miti...
  14. prettydiva

    Sina hamu ya kupenda...

    asante dia,natumai huko mbele ntapata mwingine ila kwa sasa ngoja niendelee na maisha yangu kwanza.
Back
Top Bottom