Kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya mbagala.

prettydiva

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
101
Reaction score
39
Habari...samahani nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye kujua kituo cha kulelea watoto yatima kwa huku mbagala anijulishe,nmesema mbagala sababu naishi huku nina wiwa moyoni niwe sehemu ya furaha na tumaini kwao....asanteni sana!
 
Mbona usiku mkubwa au unaota au ni viroba aaa usiku huu na mayatima wapi na wapi au muanga wewe
 
kwani usiku haruhusiwi kuuliza? IQ yako ndogo sana, utamdis vp mtu anayeuliza jambo tena jema tuu???
 
Nenda mpaka Mbagala Chamazi kituo cha daladala. Ukiuliza mtu yeyote hapo atakuelekeza. Ni upande wa kushoto wa kituo cha daladala kama umetokea Rangi tatu.
 
Habari...samahani nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye kujua kituo cha kulelea watoto yatima kwa huku mbagala anijulishe,nmesema mbagala sababu naishi huku nina wiwa moyoni niwe sehemu ya furaha na tumaini kwao....asanteni sana!

iyo furaha ni ya vip? au unataka uongozi upige hela!
 
Mbona usiku mkubwa au unaota au ni viroba aaa usiku huu na mayatima wapi na wapi au muanga wewe

mm nahisi wewe kichwani mwako hazikutoshi,sasa hapa umeona nmeuliza pumba hadi ujibu utumbo wako huu..kuwa mstaarabu kwa anayekuja na issue ya ustaarabu,natumai umenielewa.
 
iyo furaha ni ya vip? au unataka uongozi upige hela!

nimejisikia kwa sehemu ya vitu na fedha nilizonazo nitumie pamoja nao kwani wanatamani kucheka na kufurah kama wengine ila sisi tumewasahau kumbuka hawakuomba kuwa hivyo walivyo.
 
Nenda mpaka Mbagala Chamazi kituo cha daladala. Ukiuliza mtu yeyote hapo atakuelekeza. Ni upande wa kushoto wa kituo cha daladala kama umetokea Rangi tatu.

asante sana sanaaa mpendwa natumai furaha ya kuwasaidia itatimia na ilikuwa haja ya moyo wangu kabla sijaondoka duniani niwape sehemu ya kile nilichonacho...barikiwa sanaaa!
 
Back
Top Bottom