Sina hamu ya kupenda...

Sina hamu ya kupenda...

Kama umemuacha kwa lengo kuwa kuna siku atakukumbuka imekula kwako

Ma pleya huwa hawakumbuki na anaweza kuja kukutongoza mara ya pili ndo utajua hakukumbuki kabisaaa!!
 
Pole sana bibie hii jinsia Adam ni nouma, ni suruali moja yenye mfuko wa kulia, kushoto na kalioni. jiachie ili maisha yasonge.
 
Pole sana.

Nikushauri jambo...next time pima kama mshkaji umpatae ana mapenzi endelevu(hakuna clues lakini kimtazamo tu waweza kujua)

Tangu siku ya kwanza msome mtu mwenye mapungufu ambayo yanaweza kubadilishwa huwa anaonekana.
Tatizo lenu wadada unaning'ang'ania hata kama nakuonesha wazi kuwa mimi ni player ninaye jaribu-jaribu kuwa na uhusiano wa muda mrefu.

POLE SANA.
 
asante sanaaa,ila wanaume wanakuja na staili nyingi cos mapenz aliyonionyesha yalinifanya nimwamini sana na umri wake nilichukulia kama keshamaliza ujana so anahitaji kutulia ili kujenga familia kumbe nlikosea sana...ntafanya hvyo kwa ajaye.
 
Pole mamii, ana 32 tu bado sana kuna watu wanakaribia 40s stil wana act kama ndo wamebalehe jana huwezi amini.
Sometimes wanawake tunaamini wanaume wa umri mkubwa ndo walotulia ila ukweli ni kuwa ndo walewale tena they are worse. Take your time and let him go, wengi tu wanapewa nafasi kibao ya kuweka mambo sawa bado hawawezi kubadilika, time will heal you.
 
Pole sana best.
Simama anza safar mpya usiumie kwa ajili yake pengine sio chaguo LA Mungu kwako

muache banah awe na uvumilivu aendelee kumbembeleza kwanza asiachie kiurahisi tu! mbona mnakata tamaa mapema nyie wanawake kwa nn?
 
Nilikupenda sana Emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi nipige,tunaishi Dsm hii wote lakini inapita hata miezi 3-4 hatuonani hadi nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa navyo.

Miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza familia kumbe umri so tabia...machozi yangu hukuyajali wala kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda hakunithamini ipo siku atanikumbuka..

Pole sana dada yangu
 
Pole mamii, ana 32 tu bado sana kuna watu wanakaribia 40s stil wana act kama ndo wamebalehe jana huwezi amini.
Sometimes wanawake tunaamini wanaume wa umri mkubwa ndo walotulia ila ukweli ni kuwa ndo walewale tena they are worse. Take your time and let him go, wengi tu wanapewa nafasi kibao ya kuweka mambo sawa bado hawawezi kubadilika, time will heal you.

asante dia,natumai huko mbele ntapata mwingine ila kwa sasa ngoja niendelee na maisha yangu kwanza.
 
asante sanaaa,ila wanaume wanakuja na staili nyingi cos mapenz aliyonionyesha yalinifanya nimwamini sana na umri wake nilichukulia kama keshamaliza ujana so anahitaji kutulia ili kujenga familia kumbe nlikosea sana...ntafanya hvyo kwa ajaye.

Hatuji ng'ooo!
 
Back
Top Bottom