Recent content by pretty n

  1. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Habari wakuu.. Natumai mu wazima..uzi huu ni maalum kwa hawa washabiki wa ukawa...unajua tatizo kubwa ukawa ina mashabiki vijana hasa wa mitaani na pia wanaoshinda mitandaoni....hembu ongeeni fact yani kutwa kucha ni kumsifia lowassa lakini ukiulizwa lipi zuri alilofanya huna lakujibu ila...
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why most relationships na ndoa nyingi dont last nowadays

    uvumilivu ndo kitu pekee cha muhimu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naona Hutaki kula

    hahahgahahahakwikwikwikwi
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naogopa kumwumiza ushauri please

    Kakangu Mungu aendelee kukupa imani hyo mwambie tuh kwamba akazanie masomo na kazi kwanza ili awe na maisha mazuri baadae huku ukiendelea kukaa nae mbali kijanja na kujifanya uko busy coz ukiongeza ukaribu nae itakua ngumu sana kumuacha.. Mungu na akupe mke mwenza coz u deserve kua na mke mwema.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni halali kumfanyia mumeo haya mbele ya wageni?

    Ni heshima tuuh hiyo kakangu huo ni wasiwasi wako tuuh hyo ndo maana ya kitchenparty alifunzwa huyo kumlea mume asa wewe cjui unalalamika nini... Asipovuliwa mnajipeleka kwingine...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kamili gado ni neno ambalo hutumiwa na vijana was mtaani
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss wangu simuelewielewi!!!

    AF hii story mbna km inarudiwa humu? We hujawah mwambia boss wako that upo single?? Nways achana na mawazo ya kupigiwa debe inawezekana mama wa watu hat wazo hilo hana. Just concentrate kwny kazi zako n be serious with yo deeds
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulikoswa na kifo tukiwa pamoja

    Anasa zitawauwa nyie aaah mnachosha,, ptuuuu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Interview Stamico

    hawakusema ni lazima, bt walisema ni added advantage.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Interview Stamico

    Ndugu hayo yote siyajui ndo mana nimeomba kujulishwa, nways kwani huwa wanakaa siku ngapi from deadline ndo waite watu?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Interview Stamico

    Habari wanajamvi, naomba kuuliza kama stamico wameshaita watu kwny interview, asante.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zingatia kabla ya kuoa

    Na wamasai je? Wako na sifa gani?
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa sms kwa simu je ni kweli ni utani.mwaga maushauri

    Daviey69 a gess ww ni wakunyumba, koree em'biotishu, irara sidan???
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume hivi vitatu ni unkwekabo!

    Nt true.
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzungumza na/kumtuliza mpenzi aliyekasirika !!!

    Thnx kwa ushaur mzuri.
Back
Top Bottom