Nafikiri miaka 4 ya uchunguzi yakinifu inatosha
Jamani sijui ni mim nimepitiwa na wakati au nimegoma kwenda nao..sijui wanadamu wa sasa tumekuaje..unakuta unakutana na mwanaume siku ya kwanza mnakaa vizuri tu then siku ya pili yako mtu tayari kashaanza kukuomba uchi..hivi ndani ya siku moja unaweza ukawa umemjua mtu vizuri?hujui background yake,hujui kawa na wanaume wangapi uko nyuma ww unawaza kumpeleka kitandani tu..kwa style hii ukimwi hauishi aisee..
Ushauri wangu jamani naweza nikaonekana wa zamani ila ni muhimu kujipa time kumfahamu mtu utakaekua nae..atleast ata anakaa wap,ametoka kwenye familia ya aina gani na je kama atakufaa na unaweza kua nae kwa mda mrefu..tuwe wavumilivu na tusiwe controlled na miili yetu..hizi tamaa za mwili mbna ni kitu cha mda tu.!it doesnt break a bone to be patient,infact it helps alot apo ndo unakuta unaoa mtu baada ya wiki moja unaanza kujita.!tusisingizie nyakati,ur are the master of ur decision.!
Wanaume bwana ni noma sana unaweza ukajidai unabana papuchi yako anakutazama tu na yy anakusapot anakwambia poa nitasubir mpk utakapokuwa tayar, siku ukimpa kesho humuoni..
Mm kwa upande wangu nitakupa tena vizur tu hata kama tuna wiki ila condom ni muhimu sana kutumia baada ya hapo ukiamua kusepa we sepa tu na wala sitajutia, kama raha tulipeana so wasalimie tu..
Mbona nyie mnaombaga vocha siku hiyohiyo?Jamani sijui ni mim nimepitiwa na wakati au nimegoma kwenda nao..sijui wanadamu wa sasa tumekuaje..unakuta unakutana na mwanaume siku ya kwanza mnakaa vizuri tu then siku ya pili yako mtu tayari kashaanza kukuomba uchi..hivi ndani ya siku moja unaweza ukawa umemjua mtu vizuri?hujui background yake,hujui kawa na wanaume wangapi uko nyuma ww unawaza kumpeleka kitandani tu..kwa style hii ukimwi hauishi aisee..
Ushauri wangu jamani naweza nikaonekana wa zamani ila ni muhimu kujipa time kumfahamu mtu utakaekua nae..atleast ata anakaa wap,ametoka kwenye familia ya aina gani na je kama atakufaa na unaweza kua nae kwa mda mrefu..tuwe wavumilivu na tusiwe controlled na miili yetu..hizi tamaa za mwili mbna ni kitu cha mda tu.!it doesnt break a bone to be patient,infact it helps alot apo ndo unakuta unaoa mtu baada ya wiki moja unaanza kujita.!tusisingizie nyakati,ur are the master of ur decision.!
Jamani sijui ni mim nimepitiwa na wakati au nimegoma kwenda nao..sijui wanadamu wa sasa tumekuaje..unakuta unakutana na mwanaume siku ya kwanza mnakaa vizuri tu then siku ya pili yako mtu tayari kashaanza kukuomba uchi..hivi ndani ya siku moja unaweza ukawa umemjua mtu vizuri?hujui background yake,hujui kawa na wanaume wangapi uko nyuma ww unawaza kumpeleka kitandani tu..kwa style hii ukimwi hauishi aisee..
Ushauri wangu jamani naweza nikaonekana wa zamani ila ni muhimu kujipa time kumfahamu mtu utakaekua nae..atleast ata anakaa wap,ametoka kwenye familia ya aina gani na je kama atakufaa na unaweza kua nae kwa mda mrefu..tuwe wavumilivu na tusiwe controlled na miili yetu..hizi tamaa za mwili mbna ni kitu cha mda tu.!it doesnt break a bone to be patient,infact it helps alot apo ndo unakuta unaoa mtu baada ya wiki moja unaanza kujita.!tusisingizie nyakati,ur are the master of ur decision.!
Wanaume bwana ni noma sana unaweza ukajidai unabana papuchi yako anakutazama tu na yy anakusapot anakwambia poa nitasubir mpk utakapokuwa tayar, siku ukimpa kesho humuoni..
Mm kwa upande wangu nitakupa tena vizur tu hata kama tuna wiki ila condom ni muhimu sana kutumia baada ya hapo ukiamua kusepa we sepa tu na wala sitajutia, kama raha tulipeana so wasalimie tu..
Aiseeeeeee!!!!!!!!
Strange..!!!
Hujuti kuvua nguo, kubaki uchi kwa mtu ambaye mwisho wa siku si kitu kwako?
Hujuti kuwa na mlolongo wa sex partners ambao "mmetumiana" bila malengo yoyote?
Hujuti kuwa huo mwili ni wa thamani sana, kuwa watakiwa kuuheshimu na kuuthamini?
Unajua wadada mlikuwa mnaisaidia sana jamii kwa uwezo wenu wa kusema "HAPANA"? Sasa mmeamua kuwa macho juu juu kama wanaume kweli?
Kwanza sijashangaaUnashangaa nini wakati wengi wenu ndio mnavyopenda hivyo ?
Wana macho manne?Wanaume watu wa ajabu sana!
Unawazungumzia akina nani wewe?Wataomba papuchi mapema iwezekanavyo, wakishapewa wanakaa pembeni na kuanza kuongelea vibaya
Hueleweki kabisakuhusu "wanawake wa siku hizi", watawaita majina yote ya kuwatusi wakati wao ndio wame initiate hizo tabia.
Unawazungumzia viumbe gani?Mimi nawaona wanafki sana nyie viumbe!