that's a very good and valid point, akivuliwa uanachama........urais kwishney.....jipu kuu haliwezi tumbuliwa......coz hata akiwa m/kiti bado anaweza undiwa zengwe akavuliwa uanachama.
nimekuelewa kidogo, kwa mfumo wa siasa za nchi yetu chama tawala kina nguvu kuliko rais, hapo kweli m/kiti ni kama bosi wake hadi pale atakapomkabidhi kijiti.
jibu zuri, asante. sasa tuchukulie hali ya sasa ambapo m/kiti ana nguvu na ushawishi mkubwa kwa chama chake na upande wa pili rais ana dola nyuma yake, ikitokea wawili hawa wakahitilafiana mmoja kwa maslahi binafsi na ya wanaomzunguka na wa pili kwa maslahi mapana ya taifa letu, je m/kiti au...
Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar kweli zitakuwepo mwakani?
Kama tisa Desemba tunafanya usafi nchi nzima, yamkini Januari 12 sherehe za Mapinduzi Zanzibar nako watafanya usafi kama sie huku bara.
Yetu macho, subira yavuta heri.
ni kweli kurudia uchaguzi inakuwa bora zaidi maana chaguo la wengi anakuwa hayupo tena, ila wazo la mshindi wa pili kuapishwa nalo si baya kuepuka gharama za kurudia uchaguzi!
'wa kuchaguliwa' hapo nimekusoma vizuri sana.
Endapo CHADEMA ikatokea kushinda urais na CCM ikapata wabunge wengi wa kuchaguliwa ina maana Lowassa atakuwa na waziri mkuu toka CCM?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.