Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

Mwandosia alisema wazi kuwa JPM hajawahi kuwa kiongozi wa ccm hata uenyekiti wa Shina. JPM katika kampeni zake hakuwa anasema chagua ccm bali chagua magufuli. Kwa hiyo hana ubia na mwanaccm yeye kwake ni hapa kazi tu. Wanaccm walikuwa wamezoea kupiga dili sasa kaziba mianya yote na anatekeleza sera za Ukawa. Kweli ccm wataisoma number
 
The way I see it, JPM hataenda znz siku ya Mapinduzi. Kama kagomea gwaride uhuru day, atashiriki vipi gwaride Mapinduzi day zenji?
 
Jaman mkaangalie mlipopigia kura uone jina lako umepangiwa kufanya usafi wapi😅😅
 
Back
Top Bottom