Gari yake imekutwa imeteketea kwa moto upande wa pili wa hifadhi ya Serengeti kama unaelekea ziwani panaitwa Nyantarwe na sio kweli gari limekutwa ndani ya hifadhi ya Serengeti
Nimebahatika kuudhuria huu msiba hapa Magu, Kijana wamemsafirisha leo kwenda kumzika kwao Baba yake Mugumu Serengeti, Baba yake ni askari Polisi maarufu sana hapa Magu, Kijana alifia Hotel maarufu hapa Magu inaitwa Raydance ipo barabara kuu ya Mwanza Musoma kama unaingia stand ya Magu, Na...
Nimeshiriki mchezo huu, na niliposhiriki wamekuwa wakinitumia msg zao za kunihamasisha nishiriki au msg za kutangaza washindi wao, Cha ajabu ni hizi msg mbili za kutangaza washindi hebu angalieni namba za simu za washindi!
Mtoa post ni mtu wa majungu, baada ya kufatilia taarifa hii, Nimegundua Kyagata alikuwa ni mtumishi wa ofisi ya uhamiaji hapa Kilimanjaro ila kwa sasa hivi amesomewa uhamisho, Na hawa anaowarushia tuhuma Inasemekana wamechangia uhamisho wa Kyagata kutoka na kugeuza ofisi kuwa kama saloon ya...
Huyu jamaa ni kibaraka wa Kitwanga, kama mnakumbuka kwenye issue ya kutimuliwa Kitwanga alikuwa mstari wa mbele kumtetea katika media, Na kumtuhumu waziwazi Rz1 kwamba anahusika, Na kumbuka kuna vita kubwa sana kati ya Makonda na Kitwanga kwa ajili ya Ubunge 2020,Kwangu mimi sio shujaa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.