crown fm amechukuliwa mtangazaji Pablo Almas, task yake kubwa ni kuhariri na kutafasiri lugha kutoka kifaransa kuwa kiswahili, lakini pia kufanya mahojiano na staff member wa summit hasa wale wanaozungumza kifaransa
Ipo Tegeta Dar es salaam, haina tatizo lolote. engine ipo safi na nimeifunga mwaka jana mwezi wa kwanza,.hapo ni kuwasha na kuondoka. bei ni 35 milioni hakuna dalali, ni mimi mwenyewe hivyo usiogope bei tutafikia muafaka mzuri tu.. namba yangu ni hii 0625 601 589 karibu sana.
Mmoja ana karama ya ualimu/kufundisha, mwingine ana karama ya uponyaji/kutoa mapepo majini n.k
Mmoja anahubiri nafsi za watu ziokoke, mwingine mahubiri yake ni juu ya kupata utajiri na jinsi ya kujikinga na wachawi wasikudhuru kwenye biashara, kulinda vyeo na nafasi ya kazi mtu aliyonayo...
Vijana wapewe maeneno ya kulima, trekta za kutosha mbegu bora na uhakika wa masoko baada.... sasa huo mchakato wa kuvipata hivi vitu, hata mwaka waeza isha usiambulie chochote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.