Ahsante ni kweli natuma sms same kwa watu wengi huenda ndio tatizo ,lakini nimejaribu kusajili kwenye simu nyingine whatsup imekubali kufunguka .Ahsante
Habari ,Poleni na Majukumu ya kila siku! Nina changamoto moja ya whatsup yangu hii mara ya pili imekua ikiwa locked hivi.
Naombeni msaada maana nafahamu humu Kuna wataalamu wengi sana wanaoelewa vizuri haya mambo.Nimeambatanisha picha.
Ahsante.
Mimi naishi Zanzibar mwaka wa 16 huu na metokea bara ,maneno unayooambiwa ni uongo ,changamoto kubwa ni gharama za maisha ziko juu kwa sababu pesa inapatikana kirahisi na ya kutosha ,kama ukihitaji msaada wowote mambie .
Habari za hasubuhi ndugu wazazi pamoja na walezi.Kama una mtoto wako ambaye ni mzito au hata kama sio mzito lakini unahitaji asome (Home schooling au Home Tuition) huduma hyo inapatikana Tanzania nzima.
Kwanini RJ Home Tuition services.
1.Tunasaidia wanafunzi waliochelewa kuzungumza na wale...
Wakuu habari zenu ,naomba msaada wa mtu ambaye anauhakika na anaweza kufanya hii kazi .Naomba kama Yuko au ni wewe mwenyewe unicheki kupitia whatsup namba 0743567159.
Anahitajika mtu anayeweza vizuri kutafsiri lugha ya kikorea , kazi itakuepo kuanzia kesho hasubuhi .Mshahara ni makubaliano. Naomba mnisaidie kuniunganisha na muhusika kwa namba +255 734 992 298.Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.