Nyingi ziko hivyo saivi wanawajali mujibu w Sheria kasolo kanembwa ila kwenye mambo ya mkop na chuo Huwa wanawajali
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa Kambi ya msange tabora mwaka Jana walitoa room for computer wakaleta wake watu wate wanahitajika kama mwenyekiti wa Kijiji afsa kata na wakili pia mdhamin alikuwa captan au mtu unaye mwamini wee ila nivizuri uthibitishe cheti Rita ujue kabisa ni feki au og maan ndo Cha muhimu kuliko vyote...
Kuanzia mwaka Jan majamaaa hawatoi ruhusa ya kuomba mkopo unaomba kulekule Koo ushauri nivuzuri ukamuachia mtu akuombee mkopo unaye mwamini na umuachie document zote muhimu hasa chet Cha kuzaliwa verfd by Rita ila kuhusu chuo unaweza omba hukohuko Huwa ni simple
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.