Mm pia waliniambia ukitaka funiture za ndani baada ya kuanza kukatwa tu utapewa ila nilivyoenda ofisn kwao kuulizia wakaniambia mpka uwe umechangia mika 5 nilichoka.
Hakuna mgombea yoyote atashinda kwa zaidi ya 60% hakuna maana tunaona hali ilivyo na msishangae hawa jamaa wakafungana na uchaguzi ukarudiwa kwa ngazi ya rais
Mh magufuli nakupenda sana tena mtendaji mzuri ulijenga barabara ya masama ila haina hata miaka 3 imerudia hali yake ya mavumbi ila si hilo nataka kukuambia nataka kukuambia ebu rudisha heshima ya chama kilicho asisiwa na mwl kambarage hv ni ww kweli unategemewa kuwa mkuu wa nchi na amiri jeshi...
Ilisikitisha sana ni hili halivumiliki kabisa huyo kijana namuonea huruma sana kama ni muungwana aombe radhi lakin akishupaza shingo ameondoka kwa maombi niliyosikia mtumishi mmoja akiyaomba kuhusu huyo kijana daa amepotea amepotea omba radhi plz mwambieni kama hayumo humu maana anaweza asiweze...
Sheria pia inasema msimamizi wa uchaguzi akishajumlisha kura atoke nje atangaze matokeo je atawatangazia akinani matokeo wakati wapiga kura hawatakuwepo au itatumika njia gani kuwaita kusikiliza matokeo naomba ufafanuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.