Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.

We unahuduria misiba yote duniani au inayokuhusu? Acha kupotezea watu muda kusoma vitu visivyo na mantki
 
Wakuu tukisema tuchambuane kwa kuhudhuria misiba hapa tutajikuta na sisi pia tunatenda dhambi kwa kutohudhuria baadhi ya misiba kwa sababu tofauti pengine zipo nje ya uwezo wetu.pia kwa sasa misiba ya wapendwa wetu ni mingi sasa hapa unaangalia uhitajika wako kwenye misiba hii na ukaribu wako.mfano Lema kwa ukaribu na Makaidi wa Ukawa lazima awepo kuliko Malla wa Act.lakini pia ikitokea anapata msiba wa nduguye wa karibu kuliko Makaidi(mfano tu hatuombei itokee) basi ataenda kwa nduguye kuliko kwa Makaidi.
 
Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.

Mlitaka aende ili mumzuie simnakumbuka yale ya MWANGA au mmesahau simmehodhi kila kitu mpaka misiba mmeachiwa sasa kelele za nini atakwenda KUHANI hii ndio plan B
 
Mtu huwezi kwenda kwenye kila msiba ndugu. Punguza kunyooshea wenzio vidole kana kwamba we hujawahi kukosea
 
kwani yeye lema kwasababu hakuenda malahakuzikwa MTU bwana kama huna chakuongea siukae kimya usome zawenzio
 
Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.
kifo kisiwe kinga ya mtu , usaliti wa marehemu kwa chadema arusha hakuna aliyeusahau kwahiyo kutokuhudhuria msiba wake isiwe shida , kuna watu walipoteza maisha kwenye sakata hili tusije kujisahaulisha .
 
Tatizo JK kawazoesha vibaya kuwa kila msiba ni lazima kuhudhuria...
 
Back
Top Bottom