Mkuu upo sahihi kabisa, sema umerekebisha kosa lake bila hata kujua alipokosea....
Ukirudia kusoma sentensi yake utaona shida ipo kwenye neno "times" yaani badala ya kuandika time kaandika times[emoji15]
"As times goes by"[emoji15] [emoji15]
Hiyo ni kiingereza ya nchi gani aisee, hata hivyo sikulaumu pengine Mwl wako ndo alikuwa tatzo au nawe ni sawa na yule jamaa[emoji4]
Rakims, mwaka 2011 kuna siku nilipita mitaa ya Samora nilikuwa na dollar 700 nikiwa natafuta Bureau de change nilimuona mzee mmoja kwa mbele, aliponiona tu akaniita kwa majina yangu yote matatu pamoja na mkoa niliozaliwa.. "Ahaaa! Bwana......... ....... .......kutoka....... hujambo?"
Kwa kuwa...
Salamu.....
Ndugu Tutors wa course za ICT kwenye college za afya, mim ni Mwalimu wa ICT niliyepangiwa kufundisha Module ya ICT kwa wanafunzi wa Diploma ya Pharmacy katika chuo cha afya hapa nchini, hapo awali nilikuwa nafundisha wanafunz wa Diploma in IT, sasa katika hii course outline ya...
Shida umeandika kishabiki na kiumbeya saana, yaani story umeiripoti kama vile ni update ya story inayo-trend toka juzi, sio kila kitu lazima uripoti, vile usivyovijua chimbuko lake uwe unaviacha kuliko kuleta habari isiyo kamili hapa.
Je, hii ina maana kwamba mwanafuzi atalazimika kulipia kila form ya kuombea admission? Hata kama itakuwa bure hilo zoez la ku-process litakuwa gumu kuliko kawaida, just think of the 5,000 applications submitted at a particular university, unadhani hilo zoez litakuwa jepesi? Jaribuni kutofautisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.