Hapo hujaelewa mada hatujaongelea kosa la kuwa masikini umenielewa?/?
Ngoja nikuulize TZ inapochukuliwa kama nchi maskini ina maana hkuna matajiri Tz????
Pia kama kama unasema kupambana kuondoa umaskini kutokana na mada kwa nini maskini akifanya kitu cha kipesa anaonekana hakimfai...
Tatizo letu tulijiwekea tabia ya kusubiri kufundishwa bila kujitafutia na kuwa wabunifu
Huyu anayesema mungu aliumba anga inaonekana hajaelewa mada kwa undani kwa sababu ukifuatilia kihistoria inasemekana hapo mwanzo kulikuwa na dini mbili ambazo ni Roman na Islamic lakini cha kushangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.