Ahsante sana mkuuMaana ya kausha ni kukifanya kitu kiwe Kikavu,
Na kitu kikiwa kikavu maana yake tayari hakipo kwenye ile hali ya mwanzo kinakua kimetulia.
Mfano.
Unapokua msumbufu au unafanya kitu... Mtu aka kwambia kausha.. Ni lugha ya mtaani anakutaarifu utulie.