Recent content by Poznan

  1. Poznan

    Nimekuta marafiki wa mke wangu wanasema mambo ya ajabu, najua hata mke wangu wamemfundisha

    You are worrying for nothing bro. Kama anakupenda, hatasikiliza upuzi kutoka waliotendwa na wanaume wao. If she truly loves you, then you have nothing to worry about.
  2. Poznan

    Mapenzi mabaya sana, nilimfuma na mwanaume mwingine

    Huyo hakua wako. You should thank God you busted her na mwanaume at this period kabla hamja maliza more than 10 years pamoja. The depression you are going through is temporal, jipe muda itaisha na usiharakishe kuoa ju wakati ufaayo utafika. Now do me a favour and repeat after me "I WILL STOP...
  3. Poznan

    Nanyimwa penzi na mke wangu

    Bro, you as the man of the house should stump authority in your home. Your wife should learn to understand your capabilities without making such outrageous demands, and it all starts with you. Now repeat after me, "I WILL STUMP AUTHORITY IN MY HOUSE"...good luck bro
  4. Poznan

    Mapenzi ya house girl

    Are you serious bro? That 'love' you talking about, is because they have no option but to give it so that you provide to them what they need.
  5. Poznan

    Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

    Okay, okay, hold up! hold up! This isn't a matter to ask advice for bro. You finding her naked while cooking means she is totally free with you in your home. This should be a turn on to you man.
  6. Poznan

    Mke wangu kapata bwana Instagram

    Thumbs up. Hapo utaheshimika, mwanamke hatakukalia hehe
  7. Poznan

    Mke wangu kapata bwana Instagram

    Habari zenu, Najuta mke wangu kujua haya masimu ya kufuta futa.Yani mwanzo kwa hela yangu nilimnunulia simu hiyo ya kisasa ili aendane na wenzake akaja akaiuza kwani ilikuwa inajizima na istack akarudi kwenye tochi nikaona afadhali tukakaa miezi kadhaa akawa hana simu. Sasa dada yake...
  8. Poznan

    Historia ya mke wangu inanikatisha tamaa

    Braza, let the past be the past if it currently hasn't affected you two. <<cheerz>>
  9. Poznan

    Msaada namna ya kushare mawasiliano na mpenzi wangu bila yeye kujua

    Communication essential in a relationship. Tell your partner you are uneasy about jambo fulani na fulani ili kama kuna shida mtafute suluhisho. Akikudanganya, ukweli utajitokeza in one way or another in future then you can take your own action from there. But communicate first. All the best.
  10. Poznan

    Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

    hapo sawa. Utamsahau, you have a long life ahead usijiumize.
  11. Poznan

    Mchumba wangu kabadilika sana simuelewi

    Pole, huyo anakucheza. Shukuru Mungu umeyaona dalili mapema hata wewe mlenge maybe atawashwa ajirudishe.
Back
Top Bottom