Recent content by Powertothepeople

  1. P

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Wilaya ya Kilombero

    Mambo vp mkuu, gharama ya kilimo cha miwa ikoje kwa heka moja. na inachukua mda gani hadi uvunaji?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola amtimua Kamishna Jenerali wa Magereza, Juma Malewa kwenye kikao kwa kuchelewa

    Hahahaaa dah! umefanya usiku wangu kuwa mzuri sana mkuu,asante
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa: Ningependa Serikali yetu ijitambulishe kama Serikali ya CCM kuliko u-mimi...

    Natabiri kabla mwezi haujaisha atajibu mapigo,wamemboa sanaa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa: Ningependa Serikali yetu ijitambulishe kama Serikali ya CCM kuliko u-mimi...

    Kwekweli na mimi nataka kujua, haaminiki lakini week ijayo anaweza kutokea sehemu akawatupia madongo.chizi huyu mzee
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza hati ya kusafiria utatozwa 750,000 kupata nyingine

    Kwakweli wanahitaji msaada
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kosa linalopuuzwa na Rais

    Hii comment ndio inaeleza kwanini huyu pimbi kaandika hizi pumba,ni jitu limelelewa kama litumwa,halitakiwi kuuliza maswali no matter what
  7. P

    JamiiForums Tanzania Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

    Watanzania kueni makini,wanyarwanda wengi sana humu jf,nawao ndio waanzilishi wakubwa wa mada kama hizi,kujaribu kuaminisha watu kwamba kagame na karwanda ni bora kuliko nchi zingine.Tuwapuuze hawa watu.Mambo yao wapeleke kwenye forums zao.Mbona sisi hatujishughulishi na forums zao????
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Letters from a Nairobi Hospital Bed

    Well said Lissu,kama nilovyokuandikia ktk page yako ya IG taifa linakuhitaji sasa kuliko wakati mwingine wowote.get well soon our hero
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Kumnyima Mwanamke Hela Ni Haki

    Ndio hivyo hivyo babako alikua anamchukulia mamako kua ana shimo tu hadi kumuua, big up sana ktk kuwadhalilisha wanawake kama Mzee waki
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kupenda kukoje?

    Wewe si unakitoto ulichokitoa bikra umekiri mwenyewe uwezi kukiacha,lazima mapenzi yalege kwa mkeo
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sababu gani za kupost/kuweka picha za watoto wetu mitandaoni?

    Mkuu nakuunga mkono na mguu, wengi wanaofanya haya mambo wana tatizo la kutokujiamini nna ndugu yangu wa damu tulishagombana Kwasababu hii
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ndugu wasio na shukrani!

    Mkuu nilidhani hili tatizo ninalo Mimi tu, Mimi sio ndugu tu hadi marafiki long story short. tangu nije ughaibuni kuna ndugu walianza kunitafuta ambao kabla hata salamu sikuwai kuipata. cha ajabu ni kwamba mara kadhaa wamekua wakiomba hela ukiwatumia hata kujibu kama wamepata...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Huu si uanaume, ni aibu

    Asante mkuu,hasa namba 5 wanaboa kinoma na wapo wengi
Back
Top Bottom