Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
Website ukiona nzito ujue wasaka asali wengi wanaingia mzingani kuchungulia PDF mda uo, sio kwamba wana upload li pdf jipya. Tuwe wavumilivu tu wananzengo.
Acha masihara mzee, utumishi wamesaidia sana kuondoa ukiritimba, mimi nna washkaji zangu wamepata kazi kupitia utmishi, tena taasisi za mipunga mirefu TPA, TPDC na TRA. By the way utumishi wao wana oversee tu mchakato mzima wa ajira kuondoa rushwa, kwenye ile panel ya interview watu wa utumishi...
Kuna mwanangu alikua private analipwa 1.1M take home, plus per diem za kutosha akitoka nje ya Dar, akapata kazi government akahama, mshaara laki 6, saivi utamuonea huruma alivopauka, anaishi kwa budget kali sana.
Mwambie wife abaki private afanye uwekezaji tu, job security ni poor mindset.
Hapana kaka sijapata, nmeuliza swali kutokana na mfano uliotoa wa kutoka UDSM kwenda TANESCO. But nlifanya interview TANESCO matokeo hayajatoka bado.. Pia sikupitisha application letter kwa mwajili wangu wa sasa, nlitakau kujua utaratibu in case niki pass interview.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.