Recent content by Power Benq

  1. P

    JamiiForums Tanzania Serikali yawarejesha kazini watumishi 1,370 walioondolewa kwenye ajira kwa kukosa sifa ya elimu ya kidato cha nne

    Kuna waliopoteza maisha wakati wa zoezi hili
  2. P

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

    Shigongo anakamkondo ka kumuingizia hela za hapa na pale. Huku anakoelekea itamletea shida
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, awasikiliza Maaskofu, au awapuuze na kusimama na Mungu wake?

    Umeandika Mungu ukaandika mungu ukaandika Rais ukaandika rais. Umeeleweka
  4. P

    JamiiForums Tanzania JWTZ isikubali kutumiwa namna hii, itoe tamko

    JWTZ ijipime vizuri. Nchi hainaga ukomo ila nyakati huja na kuondoka yaani kama maua tu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia Ackson asema Spika Ndugai ni mzima na ana afya tele

    Asante kwa taarifa. Arejee kazini sasa maana kitambo haonekani. Time will tell
  6. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano na Diamond, Times FM wawekwa kikaangoni na kamati ya maudhui ya TCRA

    mambo mengine ni madogo sana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wahamasishaji maandamano wawili, tayari wametiwa nguvuni

    Hivi hii kitu ipo kikwelikweli
  8. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga: Kukamatwa kwa mchungaji juu ya uchochezi haina tofauti walichofanyiwa manabii na Yesu kwa tawala za Dunia

    Misimamo ya Kidini ikishasigana na Misimamo ya $erikale eventually ni machafuko tu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Mtulia-Akwilina(RIP)-Mtulia
  10. P

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Kifo cha Akwilina kimetokana na roho za kinyama ambazo kimsingi hazina hofu ya Mungu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akishindanisha Maandamano, utakuwa mwisho wa Upinzani?

    Hivi ni kweli yule binti amesikika kiasi hiki?
Back
Top Bottom