Recent content by potwemakunge

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mfumo uliotumika kumuondoa Mugabe madarakani ni sawa kuuita ‘coup detact’?

    urafiki wa awali uliokuwepo kati ya mkuu wa majeshi chiwenga na makamo wa raisi mnangagwa umechangia kwa kiasi kikubwa kutoa kionjo kipya cha transfer ya mamlaka afika na kwengineko duniani. ni mapindizi kweli ila yalipambwa na sifa za kistaarabu au wansema bloodless coup. haikutegemewa jeshi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Curriculum Vitae ya Prof. John Thornton, Chairman of ACACIA

    mbona hana phd. huo uprof wake inakuwaje
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kicheko Ni Afya, Njoo Uondoe Stress Hapa Muhimu Kwa Afya Yako

    Mshana Jr. nakukubali sana mkuu. picha zako messeji tosha.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msikitini au kanisani?

    collabo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Pale kipadi ya simu inapoisha

    ila sio ya mwenyewe. itakuwa mwenyewe ameuza
  6. P

    JamiiForums Tanzania USA vs N.Korea Military Power

    hahaha, katika comments zote hii ndio kiboko yao.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Majina ya Asili ya Kabila la wachaga

    namba 22, hahaha sijui kama mazigira mengine linatamkika hilo jina
  8. P

    JamiiForums Tanzania Trump launches military strike against Syria

    I inaonekana ramani ya vita ya Mashariki ya Kati sasa inabadilika as both US and USSSR have vested interests in Syria.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Huyu tayari

    hapo full ganzi hata akikatwa na kisu hasikii maumivu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Huyu tayari

    Halafu ukiangalia picha vizuri miguu imeshachia kwenye visigino ready kumalizia tukio
  11. P

    JamiiForums Tanzania Huyu tayari

    looks kama anataka kupaa angani
  12. P

    JamiiForums Tanzania Huyu tayari

    Mkuu Mshana hizi bidhaa adimu za kuondoa stress unazitoa wapi? Mshakaji yuko seriuos anataka kujiachia kwenye bwawa la ukweli
  13. P

    JamiiForums Tanzania Huyu tayari

    one of the best swimming pool I ever seen!!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Hongera yake Prof. Kitila. Chapa kazi
Back
Top Bottom