BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 689
- 555
Unaitwa mfumo wa Maamuzi ya pamoja papo kwa papo huo hata ukitumika hapa tanzagiza lazima ukae.
Coup de grace ni pigo la mwisho lililositisha hali ilioendelea kuwa mbaya. Palace Coup ni mapinduzi ya jopo la watawala yasiyokuwa na umwagaji damu. Hayo mawili yametokea Zimbabwe sio Coup d'etat.huyu bila Shaka ni bavicha maana hata alichokiandika hakifahamu.
Hahahahahahhahahahah kweli duniani kuna watu na viatuHuo mfumo unatwa " kwendraa au tokraaa'"
Panya ama mende anakuuma vidole vyako vya mikononi vyenye shombo huku anakupuliza usi amkewataalam wa maswala ya sayansi ya siasa naomba mniweke sawa katika ili, mfumo uliotumika kumuondoa mugabe madarakani kitaalam unaitwaje, mapinduzi ya kijeshi au ni kitu gani.
wewe unaefahamu mbona umeshindwa kuchangia zaidi ya taarabu tu...acha wenye fani yao watupe shule wewe ulikua unajua kama kuna kitu kinaitwa coup de grace au palace coup.huyu bila Shaka ni bavicha maana hata alichokiandika hakifahamu.
wewe unaefahamu mbona umeshindwa kuchangia zaidi ya taarabu tu...acha wenye fani yao watupe shule wewe ulikua unajua kama kuna kitu kinaitwa coup de grace au palace coup.huyu bila Shaka ni bavicha maana hata alichokiandika hakifahamu.
umeeleweka sn mkuu sio wengine cha kuchangia hana au hajui kabisa ata kinachozungumziwa yeye anatafuta speling mistake.Actually hii ni muungano wa military efforts na political power sababu jeshi halikushika mamlaka bali transition ilifanyika kwa diplomatic approach na reconciliation terms kwamba mugabe hatashitakiwa na usalama wake na family upo guaranteed,
Procedures zilizokua zikiendelea kabla mugabe hajatoa official voluntary resignation ni za kikatiba kabisa hata katiba yetu inaruhusu waziri mkuu na speaker wa bunge wakiona mashaka na nafasi ya Rais wanaweza kuitisha kura bungeni ya kutokua na imani naye judiciary ikihusishwa na kura kutimia Rais anatoka.
A complete coup d'état ni jeshi mwanzo mwisho mkuu wa jeshi ndio anakua kiongozi wa nchi no constitutional procedures sababu hata njia yenyewe sio ya kikatiba.