Pale kipadi ya simu inapoisha

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
b53d121c8055ebd0a4ccea6e794a7308.jpg
 
Mwenye hii simu atakuwa na elements za kipareee.
Cc Evelyn Salt hahahhaa mchambuzi wa makabila
 
Acha usanii wewe, unatuona mabwege sio?! Simu inaonekana kwa juu bado mpya; maandishi ya tecno yanasomeka vizuri hakuna hata michubuko. Au unataka kutupima uone tuna mtazamo gani.
 
Back
Top Bottom