Recent content by Pota

  1. Pota

    Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

    Mdude yupo polisi
  2. Pota

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 2 April, 2025

    Uchaguzi gani unauongelea simbachawawene? Si mpo pekeenu? Uchaguzi wa nini kupoteza muda. Pendekezaneni majina apishaneni tuendelee na maisha
  3. Pota

    Prof. Mkenda: Kuna matatizo ya Kiufundi, Mtaala mpya wa Kidato cha 5 utaanza Mwaka 2025, kutakuwa na masomo mawili mapya kwa Wanafunzi wote

    Ulikuwa wapi kutoa tamko kabla? Mmechapisga syllabus, vitabu then mkavitawanya... Mmeanzisha komb mpya mkapekeka wanafunzi.. Mmeanzisha masomo Mapya yakaanza kufundishwa...then Leo unakuja na hii pumba ati mpka mwakan Wanafnz am so mliwachagua kwa Kombo mpya mnawahamishia Kombo zingine na su...
  4. Pota

    Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

    Nimesoma tosamaganga 6 yrs na nilikuwa naenda Sana ipamba kwa kuwa ndo hosptl wanayotibiwa wanafunzi pua... Sijawah sikia hii kitu.. Ndo Naona hapa...
  5. Pota

    Iringa: Mwanakwaya adakwa akidaiwa kumdhalilisha kijana wa miaka 14

    Kwan kuwa mwanakwaya ni cheo? Kwa nn atambulushww ka mwanakwaya? Au target ni kanisa katoliki?
  6. Pota

    TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    Gb whtasp, fmwhtsp, yoehatsp zote hizi unaweza kuset Ile view once ikawa inactive.. Na hata Ile delete for all ikawa inactive pia. Mtu Ana delete fir all but wew unabak nazo... But pia inauwezo wa kudwnload status za watu. Sijui kwa nn official what's hawana hizi features
  7. Pota

    Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Wee jamaa unetisha. Hongera Sana...tangu 2022 mpka Sasa unadunda.. Keep up na uaminifu Wako ndo mtaji Wako.
  8. Pota

    Mwalimu Mkuu adaiwa kumlawiti mwanafunzi Bunda

    Mbn kama imetengenezwa? Mtoto Dr's la 6 miaka 16? Abakwe Alawitiwe Apeww sumu Mmmmmmhh
  9. Pota

    LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

    Memes zenye we anaandika kwa mafumbo... Msomaji ndonunatafsir mwenyewe... Mfno alivosema ukikuta mdada Ana VYUMBA viwil anapangisha Ingia vyote.. Sasa Hapo kamdhalilishaje?
  10. Pota

    Chama asamehewa na Uongozi wa Simba Sc

    Ndivo ilivyo mchezaji unapokuwa na jina kuliko timu... Lazma wakupigie nagoti
  11. Pota

    Kwanini seriksli inakataza kupiga picha yeyote pale Kigongongo ferry/ Magufuli bridge? Wanaficha nini?

    Wanazuia kwa sabab za kiusalama... Ikitokea mmevamiwa na adui anafaham. Geogrohy ya Hapo ni rahis kukuzid maarifa... Ni Sawa na sehem za kambi za jeshi huwez piha picha.. Au sehem zenye vinu vya umeme
  12. Pota

    Ukweli usemwe hata kama unauma, Upinzani wa Tanzania unanitia mashaka

    Anzisha upibzan wako ambao utakuwa imara
Back
Top Bottom