Recent content by Positive-Vibes

  1. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

    Wewe ni lcuma
  2. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

    Kwenye mahojiano ya BBC Samia alisema tulikubali tozo
  3. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Nimetoa laki moja benki nimekatwa 10,000 kama tozo mbali na makato ya NMB

    Gwajima achukue Uraisi 2025
  4. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

    Ruto ni Magufuli wa Kenya
  5. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Tumeshakubali tutaamia Burundi kabla ya sensa
  6. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    ndo nipo safarini , naelekea Burundi . mkipata maendeleo mnijulishe
  7. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Yaani app iaribu betri ? Danganya watoto Watu wanafanya mining na simu , na bado ziko freshi
  8. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

    Wacha nicheke kwanza
  9. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

    Itakua ni mzimu wa Magufuli umerudi kumalizia kazi
  10. Positive-Vibes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta, Arap, Kibaki, Kenyatta, Arap - huu ukiritimba wa Uongozi ndio hayati Magufuli alipambana kuufuta!

    Uhuru na Raila walitaka system wakasema wana nguvu na wanakila kitu, ila kuna kijana dhaifu wa kanisa aliyetoka katika familia isiyo na viongozi akabadilisha mwelekeo wa upepo. Hii naifananisha km kipindi kile cha Magufuli , Natarajia nione makubwa kutoka kwa Ruto , akichomoa mirija yote...
  11. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Tetesi ya kuondolewa huduma ya magari ya Bolt

    bugs zinajirekebisha zenyewe?
  12. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wazo la bidhaa ya kuuza mtandaoni ndani ya saa 24 tu...

    Online hustle ni rahisi kuiwazia ila kufanikiwa ni pamoto Mimi nilianza kama passion ila nimekuja kuanza kuona mafanikio baada ya miaka 6 Ni ku-fail , fail , fail, fail , fail , fail , fail , fail , fail , fail, fail , fail , fail , fail , fail , fail , fail, fail , fail , fail , fail Alafu...
  13. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Kuna haja sasa ya kutenganisha Shughuli za Kitaifa na Matamasha ya soka, Nanenane yafunikwa kabisa na Simba Day

    watu wengi - kina nani ? Wananchi wanyonge au kinani? Wananchi wanyonge ndio wengi , na ndio wanaompenda Magufuli zaidi ya Samia na Mbowe
  14. Positive-Vibes

    JamiiForums Tanzania Kuna haja sasa ya kutenganisha Shughuli za Kitaifa na Matamasha ya soka, Nanenane yafunikwa kabisa na Simba Day

    Mbona enzi za Magufuli hotuba zake zilikuwa zinafuatiliwa, Tena watu walikua wanakaa attention kama wanasubiria tamthilia za kikorea
Back
Top Bottom