Chai imeanzia hapa. Biashara yako ilikuwa na ukubwa gani? Uliweka utaratibu upi wa kuratibu mapato na matumizi yako, hayo mazonge ulikuwa unayaonaje onaje?
Mkuu una akili timamu? Huko nchi Jirani ulikuwa umeikata ukaiweka kwenye fridge? Na huyo mwenzio huko nyuma ulimuachaje?
Kwasababu umeomba ushauri, Cha kukushauri; Kaa muone mtalea vipi watoto wenu, ushauri mwingine, Kama hamjafunga ndoa, msifunge; maana huyo mwanamke hakufai na wewe haumfai.
Licha ya kunufaika Kutoka Kwa dogo, lakini hakika haukuwa mtoto mzuri. Unless otherwise haujabadilika mkuu basi haupaswi kuwa kwenye taasisi yeyote, maana wewe ni mbinafsi na ni fisadi pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.