La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 627
- 1,145
- Thread starter
- #41
nigawie basi wew mwenye nazo naminniweze kuwapata hao chawaTafuta hela aisee ukiwa na hela huwezi kukosa hata chawa wawili watatu😁
nigawie basi wew mwenye nazo naminniweze kuwapata hao chawaTafuta hela aisee ukiwa na hela huwezi kukosa hata chawa wawili watatu😁
Mwanagenzi, there is a moment of being alone and one of being within a community. Don't ignore any of the two, it's important for your health.You can't hurt someone who is comfortable being alone
If you disrespect them they will cut you off
When cross their boundaries they'll walk away
When you try to manipulate them they'll gladly hold the door open for you
Because they don't need you in their life
They just choose you to let you in
when someone have that level of peace how you can hurt them?
nakuelewa popoMwanagenzi, there is a moment of being alone and one of being within a community. Don't ignore any of the two, it's important for your health.
Sijui unazungumzia nn Mkuu 😎
Siku hizi nimeacha 😎
Bro.You can't hurt someone who is comfortable being alone
If you disrespect them they will cut you off
When cross their boundaries they'll walk away
When you try to manipulate them they'll gladly hold the door open for you
Because they don't need you in their life
They just choose you to let you in
when someone have that level of peace how you can hurt them?
😆😆😆Tafuta mtu bro, hata marehemu ana sanda
Wee endelea tu kuvaa koti la pupwe winter jacket Dar kwenye nyuzi joto 26°Csijui kizungu ila najua umepigwa tukio unajaribu kujifariji pole lakin ndo ukubwa😎
Binafsi na enjoy sana nikiwa peke yangu na mara nyingi nakuwa na amani,huwa nikichanganyika tu lazima nipate matatizo.ubinafsi ni moyo
being alone ni hali
unazungumzia vitu viwili tofauti
nikue mara ngapi alafu mim sio buroooBro.
Upweke sio dili.
Ukikua utajua tunamaanisha nini....
mie kama wew tu walishataka kunipeleka kwa mungu baba mara tatu ikashindikana na bado waniandamaBinafsi na enjoy sana nikiwa peke yangu na mara nyingi nakuwa na amani,huwa nikichanganyika tu lazima nipate matatizo.
Kuna kipindi mama akanishauri nichanganyike na watu basi nyumba niliyopanga wakati naanza maisha kulikuwa na sehemu nje wanacheza draft.Kulikuwa na watu wazima na baadhi ya wazee.KU.......BABABAKE kuna mzee akaenda kuchungulia kaona nna kitu NIKAPIGWA STROKE YA KIBABE nilipooza kuanzia nywele mpaka vidole vya miguuni ngoma nikaenda kuichomolea Tanga.Hadi leo yule MZEE haamini kama niko HAI nikiwa naweza kutembea.
Haya tukio jingine niko kwangu wife ananiambia jichanganye nikasema sawa basi kama unavyojua majirani zangu wengi ni wanajeshi.Basi kuna mwanajeshi mmoja karudi zake CONGO na 60m akaena Mke wangu mzuri hafai kuwa na mimi akawa anachat na mimi kupitia simu ya mke wangu bila ya yeye kujua coz Mke wangu hana mda na simu mpaka mda mwingine ananiuliza "simu yangu iko wapi "Basi bwana yule mwanajeshi nikawa naenda nae mule mule mwisho wa likawa linatoa location za kuona na mke wangu Kwasababu lilichukua likizo baada ya kurudi CONGO nikasubiri amalize arudi mtaani na alivyorudi tu nikamtumia meseji "WEWE KU..........MA UNACHAT NA MIMI SIO MKE WANGU NA NILIKATAA MAZOEA NA WEWE KWASABABU NILIGUNDUA NI MPUMBAVU NYUMBANI KWAKU USIKANYAGE TENA"
Uzuri wake meseji alikuwa anatuma za kawaida sio WhatsApp so hawezi kuzifuta,alibadirisha njia mbona halafu tukikutana njiani namuangalia macho makavu bila kupepesa macho.
NB;SIWEZI KUJICHANGANYA NA NDEZI NA WAPUMBAVU BORA PEKE YANGU
Ha ha ha ha!nikue mara ngapi alafu mim sio burooo
mie kama wew tu walishataka kunipeleka kwa mungu baba mara tatu ikashindikana na bado waniandama
pole sana ndio binadamu haoHa ha ha ha!
Ndugu nimechomoa STROKE 3 ambazo ni clearly chances yaani mimi wangekuwa washazika zamani.Haya maisha kuna watu wapumbavu sana yaani wewe huna habari naye lakini anaenda kukupigia ramli.Nimesha apa sitojichanganya tena coz kuna KENGE hazina akili