Nimesikia kelele nyingi za watu wako huku Mpiji Magohe kuanzia wakiwa stendi ya Mbezi ya shamba wakisubiri daladala zetu(mimi ni dereva wa daladala eicher kutoka Mbezi kwenda Mpiji).
Watu wanakuongelea sana lakini sio kwa uzuri wengi wanasema umewasaliti na shida wanazopata hujawahi hata kuja...
Alafu mwishoni akatuambia anarudi nyumbani Daaa ila Lowassa umetuacha kwenye mataa sana sijui nani atasimama tena kwenye jukwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitia katika Instagram page ya #TFF nikitafuta taarifa rasmi za viingilio na wapi nitaweza kununua Ticket leo mapema ili nijiandae kwa mchezo wa kesho kushangilia maana na mm nimehamasika sanaa,lkn cha ajabu page hiyo haina chochote cha updates kama hizo na ukizingatia mchezo wa muhimu sana...
Naombeni mtujuze ticjet zinauzwa wapi na bei zake tafadhari naomba kwa yyte mwenye uelwqa anisaidie hao wanaoongea kuhakasisha watu sioni hata mmoja akizungumzia swala la Ticket l.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa cha habari chajitosheleza hapa naomba kuzimza na kamati ya Ushindi wa Stars ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda, binafsi nimehamasika saana na ushawishi unaofanywa na kamati lkn tatizo linakuwaga kiingilio wanavyoweka hao TFF hawajali, mm siendagi uwanjani hata kama ikiwa simba...
Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu kubwa sana ktk sauti nw kelele za mashabiki. Kama mtaweza muweke hata 2,000/= mzunguko hakika tutajaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.