Zanzibar nishati ya umeme mnategemea Bara mkijitenga nchi mtaiweza kweli?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,028
98% ya wapemba walioko Zanzibar hawautaki Muungano hata kidogo wanaamini wananyonywa.
Muungano wanautaka watu wa unguja ambao wao wanandugu wengi huku bara.

Cha kushangaza Zanzibar vitu vyao muhimu wanategemea bara,kamati ya 80+ ya askari wanatoka bara.
100% nishati ya umeme wanategenea bara..
Naamini wakijitoa nchi yao itakufa kibudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yote umeyapata baada ya kufanya Research ipi!?? Methodology ipi umetumia!?, Sample size yako ni ipi!?? Hebu njoo na hivi vitu angalau bandiko lako lipate legtimacy!!!

Typed Using KIDOLE
 
98% ya wapemba walioko Zanzibar hawautaki Muungano hata kidogo wanaamini wananyonywa.
Muungano wanautaka watu wa unguja ambao wao wanandugu wengi huku bara.

Cha kushangaza Zanzibar vitu vyao muhimu wanategemea bara,kamati ya 80+ ya askari wanatoka bara.
100% nishati ya umeme wanategenea bara..
Naamini wakijitoa nchi yao itakufa kibudu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Seychelles, Mauritius, Comoro wanapata wapi ?
 
Hivi kuna mchagga anaetaka kuolewa na Mkurya?? Huwezi kuzalimisha muungano wakati upande mmoja hautaki. Halafu anae ukataa anaonekana atapata shida na anae ugangania jee?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hapa ndipo utakapoona ujinga,unafiki ,ubinafsi na roho mbaya ya mwafrika.
Wanasema kuwa Wazanzibar ni ndugu zetu halafu wanasema wakijitenga tunawakatia umeme.

Kwanza hakuna Mzanzibari anayetaka kujitenga .
Dunia ya Leo ukiona watu na akili zao wanazungumzia kujitenga na nchi nyingine ujue hao ni vichaa.
Zanzibar wanataka Uhuru wao kamili kama nchi iliyoungana na nchi nyingine sio kuifanya kama koloni la Bara.
Uhuru wa kuamua Mambo yao kidemokrasia .
Uhuru wa kuchagua marafiki wa kushirikiana nao, Uhuru wa kuleta maendeleo yao.
Uhuru wa kuweka pembeni Koti la muungano linaowabana na kuzuia maendeleo yao.

Na pia mawazo kama haya ya wanaCCM wengi yananifanya nizidi kuamini kuwa shida nyingi tulizo nazo zimepangwa na kusababishwa na CCM kwa makusudi kwa maslahi yao. Mkoloni Muingereza alitawala Tanganyika na Zanzibar alikuwepo Sultani lakini hawakuingia kwenye mgogoro wowote wa Bahari wala mipaka wala kupigana vita. Hapakua na matishio ya ajabu na ya kusadikika kama yale ya kusema eti Zanzibar inaweza kutumiwa na nchi za Kiarabu kuivamia Tanganyika.
Leo hii Wazanzibari wengi ni ndugu Zetu na watu wameoleana na wapemba na wanaishi kama ndugu kibiahara na kila kitu lakinia Mabeberu wanaoweka Mbele maslahi yao wanasema Zanzibar ikijitenga tutawakatia umeme. Utafikri huo umeme ni wa familia ya mtu.

Waafrika tuache Chuki kwa sababu ya uroho waadaraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la umeme ni dogo sana mkuu, wale wakipata mwezekaji mzuri wanaweza kufunga solar panel ambazo zina uwezo wa kuhudumu umeme Zanzibar yote,
Ila hawawezi kukubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
98% ya wapemba walioko Zanzibar hawautaki Muungano hata kidogo wanaamini wananyonywa.
Muungano wanautaka watu wa unguja ambao wao wanandugu wengi huku bara.

Cha kushangaza Zanzibar vitu vyao muhimu wanategemea bara,kamati ya 80+ ya askari wanatoka bara.
100% nishati ya umeme wanategenea bara..
Naamini wakijitoa nchi yao itakufa kibudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili timamu?

Rais wa Zanzibar Dr. Shein alishasemaga kuwa Umeme wa Tanesco auwaumizi kichwa. na wapo Tayari kuishi bila umeme.....Zanzibar Warabu wanaione donge kama vile midume mikware na binti mbichi..muungano ukivyunjika leo ni sisi ndo tutakuwa tupo na taabu sana na sio wao.
http://www.bbc.com/swahili/habari-39227838
 
98% ya wapemba walioko Zanzibar hawautaki Muungano hata kidogo wanaamini wananyonywa.
Muungano wanautaka watu wa unguja ambao wao wanandugu wengi huku bara.

Cha kushangaza Zanzibar vitu vyao muhimu wanategemea bara,kamati ya 80+ ya askari wanatoka bara.
100% nishati ya umeme wanategenea bara..
Naamini wakijitoa nchi yao itakufa kibudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Mafia mmewaunganishia Nyie?
 
Zanzibar ilishakaa giza miezi mitatu bila ya umeme na walisavive na wangeendelea kukaa vile vile basi wangechakacha akili wapi wanaweza kupata hio nishati. Mda mwengine mkuu ukitaka kuandika kitu pitia hata Google kwanza mana inaonekana vyanzo vya nishati ambavyo vinaweza kuzalisha umeme huvijui au wavijua ila umefumba macho tu.
 
98% ya wapemba walioko Zanzibar hawautaki Muungano hata kidogo wanaamini wananyonywa.
Muungano wanautaka watu wa unguja ambao wao wanandugu wengi huku bara.

Cha kushangaza Zanzibar vitu vyao muhimu wanategemea bara,kamati ya 80+ ya askari wanatoka bara.
100% nishati ya umeme wanategenea bara..
Naamini wakijitoa nchi yao itakufa kibudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mengine umeongea sahihi..

Kwani wapemba hawana undugu na wabara?
Labda hawautaki kwa mengineyo tu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom