Recent content by Popacomputers

  1. Popacomputers

    Trapped to a married man

    Kuna kitu kimoja ambacho ni cha kweli kabisa maishani,ukiona mume au mke anatoka nje ya ndoa ujue ni ubinafsi na namna ya kuukwepa ukweli so anatafuta faraja ya muda wakati akili haijamkaa vizuri. Unajua tunapokuwa hatujaingia kwenye ndoa huwa tunajenga kitu akilini kwamba ndoa ni kama...
  2. Popacomputers

    Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

    Huyo ana bahati sana ingekuwa ndio mimi nimekuta anapiga mtoto hivyo namshushia kipigo cha mbwa mwizi ajifunze asirudie next time.
  3. Popacomputers

    Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Kipindi cha chuma hawa askari walikuwa na ujasiri wa kumalizana na Hawa Wapuuzi huko huko site na walikuwa na mtu pale juu wa kuwalinda na kuwapigania. Sasa hivi hata wao wanaona hizo harakati tu za kuwatoa huko magerezani wahalifu wenye vinasaba na wakubwa huku wakielekezwa wapunguze kesi na...
  4. Popacomputers

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Ni mwanaume mpuuzi tu na mwenye akili za kitoto anaweza kufanya upumbavu aliofanya huyo mjinga. Angekuwa Ndio amemfanyia mwanangu ningemalizana nae kiume na pengine asingekuwepo hapa kusimulia upuuzi wake
  5. Popacomputers

    Hii ratiba TFF wamemtengenezea Simba mazingira ya kuchukua ubingwa mapema kirahisi kabisa

    Mngeshinda mechi zenu Huu upupu msingekuwa mnahangaika nao kwa sasa.tatizo mmeshindwa kichwa mechi zenu na wachezaji wenu magalasa now mnahangaika kutafuta sababu za kipuuzi kujifariji. Kama muda huu Ningekuwa mnaongoza pointu nyingi Simba hata angepangiwa kucheza hadi septemba isingewasumbua
  6. Popacomputers

    Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Nyie wanyonge subirini kwanza Madam president yupo bize na wawekezaji.
  7. Popacomputers

    Naweza kuoa mwanamke kutoka nyumba alipooa kaka yangu?

    Wewe inaonekana unaishi kwa kaka yako pamoja na huyo mdogo mtu na kwa sababu wewe ni domo zege na unapenda vya kunyonga ukaamua kuchekacheka na yeye akachekacheka mkajikuta mmeduuu, yaani hiyo inaitwa hakuna kutongoza... Toka nenda kaanze maisha ya kujitegemea utaona mali mpya sokoni acha...
  8. Popacomputers

    MADA YA WEEKEND: Wazee wa Dar na Benz la Mwinyi

    Yule walisema anagawa tu pesa kama zake bila kufuata sheria sasa huyu kwa sababu ni rais wa matajiri na wawekezaji sheria zenu hizo za wanyonge hazimuhusu ! Kazi iendelee
  9. Popacomputers

    Sokomoko la zawadi ya gari ya Rais mstaafu Mwinyi

    Sasa ni muda wa matajiri kuishi kama malaika na masikini kuishi kama mashetani !
  10. Popacomputers

    Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Lakini yalipeleka ugali kwenye nyumba za masikini wengi sana nchini
  11. Popacomputers

    Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

    Aendelee tu kuwadharau na majibu yake atayapata 2025.kama mnajidanganya kwamba kilichotokea kwenye msiba wa JPM kilikuwa ni maigizo mkawapuuza Watanzania masikini mkawa bize na hao 'wawekezaji'majibu mtayapata next election kama ccm leo wameamua kwa makusudi mazima ya kumpuuza mtu aliyewanusuru...
  12. Popacomputers

    Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    VP or PM ? Hao kwa sasa ni sawa na mwanaume suruali/asiye na mshiko anayeishi na mke mwenye pesa, kama unapata picha.
  13. Popacomputers

    Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

    Na gesi Iko ntwara !!! Yaani wa mtwara inapopatikana gesi hajapata bado unasainiwa mkataba wa kumpelekea wa mombasa ! Sasa hao wawekezaji tunawajengea rassura gani ? Au labda kuna wengine hatujaelewa mahali... Maana tangu waitwe wawekezaji waliojitokeza kwa pupa ni kama wale wa tani moja kule...
  14. Popacomputers

    Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    Tena mama anaona Rostam mwenyewe mwenye pesa zake wanavyomzingua sebuse sisi akina yakhee ? Mimi Nina marafiki kadhaa wakenya walikuja Tanzania kizembe tu na mitaji ya ngama mmojawapo alianzisha kibiashara kama vile vya forever living kuuza sijui virutubisho na ushauri nasaha sasa hivi ni...
Back
Top Bottom