Recent content by ponsianus

  1. ponsianus

    Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    una maana gani kusema hivyo au ndio unataka kujua habar Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ponsianus

    Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    bora unyamaze tu aina haja ya kutafuta habar Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ponsianus

    TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Kimya kimya wataisoma no Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  4. ponsianus

    Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

    Ni haki yake ngoja aongee Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  5. ponsianus

    Wimbo wa taifa kwenye tangazo la Magufuli hii ni sawa?

    Kutumia wimbo wa taifa kwa mgombea wa chama chochote cha siasa sio vizuri kwani taifa ni letu sote. Naomba kituo clouds fm kutofanyo hivyo.
  6. ponsianus

    Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Yaani hata wasemeje mimechoka na ccm kwa miaka 54, cwezi kudanganywa tena na tena ata km ni bora nifanye mahamuzi niliyodhamilia ili kuleta upinzani wa kweli na c kurahisisha tu kila kukicha ccm knaingia madarakani kiulain.i
  7. ponsianus

    Dr. Magufuli kama wewe ni muaminifu na unajiamini basi fanya haya ili watanzania wakuamini

    Nimekubari hiyo hoja kaka mwaka huu upinzani ni mkubwa sana
  8. ponsianus

    TANZIA: Msanii wa muziki wa Dansi, Banza Stone (Ramadhani Masanja) afariki Dunia

    Mwezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina
  9. ponsianus

    RV4 J inauzwa

    Iko wapi mbona cjaiona hapo
  10. ponsianus

    Natafuta kazi diplima in bussiness administration

    Pole sana rosa hii ndio changamoto ya wasomi wengi bila shaka ikitokea chance za mikoani uko tayari maana nyie watu wa dar huwa kuhama dar hadi nyundo
Back
Top Bottom