Recent content by Ponsian R Baitatafe

  1. Ponsian R Baitatafe

    Azzan Zungu anamwaga darasa Bungeni

    Asate nas tumeliona hilo zungu angekuwa na cheo kikubwa bungeni tungekuwA mbali wtz
  2. Ponsian R Baitatafe

    Swali kwa Dr. Kitila, Zitto Kabwe, Mwigamba na Albert Msando

    Mnaoshindwa na mnaotendewa vibaya.na msiolidhika na mienendo ya vyama vyenu rudini nyumbani CCM tujenge taifa letu.
  3. Ponsian R Baitatafe

    Lembeli: CCM si Mama yangu

    Asante mzee Rembel kusaidia chama chetu ccm ili kiongoze harakati za mabadiliko.tulioko vijijini tunasononeka sana tuonapo viongozi wetu wa CCM wanaposhindwa kujenga chama na kuongoza mabadiliko na kuviachia vyama vya upinzani vikijenga hoja nzito mpaka tumashindwa kumini. Kwa nini chama chetu...
  4. Ponsian R Baitatafe

    Warioba, Wananchi Walitaka "Serikali 3" au "Nchi 3?"

    Mnaompinga Warioba na mnaopinga maoni ya wananchi imekura kwenu.Tanganyika ilikufaje Zanzibar ikabaki?
  5. Ponsian R Baitatafe

    Prof. Issa Shivji bado tunahitaji Tanganyika huru

    Prof. Shivji niliyemsikia wakati wa mjadala wa katiba umepamba moto kwenye vipindi vya ITV sio yule niliyemwona na hoja yake ya jana.nauliza nini kimemsibu?.
  6. Ponsian R Baitatafe

    Kangi Lugora, Deo Filikunjombe na Ester Bulaya ni nyota zing'aazo CCM

    Wananchi wa Tanzania na viongozi wa chama chetu ccm ni wengi lakini Wa Tanzania ni wachache.hongera Kangi Lugora hongera Deo Filikunjombe kuwa alama ya ccm ya mwl Nyerere na kuitetea Tanzania.nifikishieni pongezi hizi na salamu hizi kwao maana tunaelekea kukata tamaa tuonapo poropoganda hata...
  7. Ponsian R Baitatafe

    Gari la Serikali (linalotumiwa na Sumaye) labambwa na Meno ya Tembo!

    Nikikumbuka kesi iliyotengenezwa na kuitwa ya ugaidi wa rwakatale na chadema na mhusika mkuu mwenye ushaidi wa kuutoa popote atakapohitajika tena kwa kusisitiza iwe mbinguni na duniani na huyo kapewa tuzo miongoni mwa wateule.tutegemee mengi tunapoelekea uchaguzi mkuu
  8. Ponsian R Baitatafe

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 28 Machi 2014 - Maamuzi ya Bunge Kuhusu Kanuni za 37 na 38

    Tusitegemee la maana.ushabeki wa kipuuzi utaliangamiza taifa.tusubili hoja ya imani za dini hapo ndipo taifa litagawanyika vipande kwa kupuuzi wa kufanya maamuzi uliopitishwa
  9. Ponsian R Baitatafe

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Kira mtu aende kufanya kazi zake za kujiongezea kipato.mjadala unakoelekea hakuna nia njema kwa walio wengi walioko bungeni.wanaopinga serikali tatu kuwa itaongeza garama mbona kila siku nchini hapa tanzania kila kukicha wanaongeza vitongoji.vijiji.kata.mitaa.tarafa.wilaya.na mikoa.? Rakini...
  10. Ponsian R Baitatafe

    Mtazamo Wangu: Deo Filikunjombe ni mjasiri.

    Tumekwisha.maamuzi ya leo ya kuamua kupiga kula mbili kuamua masuara nyeti ya taifa yamelidharaulisha na kulidhalilisha na kulifedhehesha bunge na taifa kiujumla.yamedhalilisha wabunge wote hata no 6 aliyejitapa kwa kasi na viwango ni ziro.matumaini yametuishia watu wenye dhamana ya kushindwa...
  11. Ponsian R Baitatafe

    UKAWA hatarini kufutwa, Samweli Sitta awatafutia zengwe

    Mungu ibariki Tanzania Lakini kwa jinsi tunavyokwenda katiba itakuwa ya mapambano.
Back
Top Bottom