Recent content by pongwer

  1. pongwer

    SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

    Muundo wa CIA, majukumu na idara zake
  2. pongwer

    SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

    Muundo wa FBI na majukumu au idara zake
  3. pongwer

    SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

    Mnabishana vitu ambavyo ni very simple! Ipo hivi ujasusi auvushushushu namna namna ya utekelezaji wa mikakati hii ni mahsusi kwa ajili ya NJE YA NCHI. Kupata taarifa za kiusalama kwa kuzikusanya kutoka katika vyanzo mbalimbali ili kuilinda nchi ikiwa ni NDANI YA NCHI tunaita...
  4. pongwer

    Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

    We unayemuunga mkono ndugai ni mwehu vile vile huyo ndugai kama ni msema kweli mbona hakusema kuhusu deni la taifa wakati magufuli akiwa hai?? Kaa ukijua tu kwamba SSH alipoingia madarakani alishakuta deni la taifa ni trilioni 68 yaan ni karibia kabisa 70, mbona alikaa kimya kipindi chote...
  5. pongwer

    Natafuta rafiki wa kiume

    Weka picha tukuone
  6. pongwer

    Kiingereza cha pli lumumba

    Niaje niaje wakurungwaaaaaaa......aisee mi nataka kujua hivi kile kiingereza cha yule profesa wa sheria wa kenya PLO LUMUMBA ni kiingereza. chenye asili ya wapi maana misamiati mingi hata ukisema uchukue kamusi. Hukuti neno hilo.😀 ipoje hii wakuu
  7. pongwer

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Ha ha ha ha ha mke wang huyo[emoji1787] nlimpata baaday ya yey kuniona natumia iphone[emoji38][emoji38][emoji38]
  8. pongwer

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Kihusu download nyimbo ipo hivi, nyimbo utakazonunua tu ndo znaweza kuplay ktk media player ya apple(apple music) tu, lakin hii haikunyimi uhuru wa kutodownload nyimbo ambazo si za kulipia, media player zpo nyingi mfano VLC inakaa ktk iphone na inapiga kazi fresh tu video, audios, movie vyote...
  9. pongwer

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    [emoji777]Namba 15 pia sio kweli fanya uchunguzi app zipo zinazoweza kutoa mwongozo kwa iphone devices kudetect visual audio devices na kutumika kama remote control ktk tv mim natumia iphone 8+ na inakubal ktk LG SMART TV.... NOTE: Simu kuweza kuwa kama remote control ya tv tambua kuwa sio...
  10. pongwer

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    [emoji777]pia umechapia ktk ulaji wa chaji kijana mi mtaalam, fundi pia muuzaj wa simu, nmetumia simu nying san na nmeuza simu nyingi pia[emoji1787] asikudanganye mtu hapa duniani simu zenye bettry mbovu ni SAMSUNG labla kidogo hizi A-series (mfano A10,20,50 n.k) Simu inazokaa chaji san ni...
  11. pongwer

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Hapo kwenye kutoa flash alert sio kweli pia pengine unaweza kuwa sahihi ktk baadhi ya mambo ila mengine nakuomba utumie kwanza iphone uijue vzuri, kuhusu flashalert sehem ipo inaitwa LED FLASH-ALERT!! Chunguza simu yako
  12. pongwer

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    [emoji666]Kuna vitu sio kweli mfano earphone mim natumia iphone na earphone natumia za tecno, [emoji666]pia kuhusu kudownload vitu mim nin nyimbo na video na movie kibao nadownload na kuziangalia pia Note: ILA PAMOJA NA YOTE UKWELI NI KWAMBA HAZIMPI UHURU MTUMIAJI WAKE[emoji1488]
  13. pongwer

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kakonko kigoma nije hapo mtwara
  14. pongwer

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwenye uhitaji aje halmashauri ya wilaya ya kakonko then niende Masasi Mtwara. Simu 0679448195
  15. pongwer

    English learning thread

Back
Top Bottom