Recent content by Pompoo

  1. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

    Ina maana hapati chochote kutoka kwenye chama??
  2. Pompoo

    JamiiForums Tanzania DUCE Family on JF - Special Thread

    Vijana mliofaulu vizuri karibuni sana DUCE family
  3. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Sipendi - Special thread

    Sipendi tabia ya mwenye nyumba kutumia LUKU moja na wapangaji halafu yeye hachangii anakusanya tu..
  4. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji "Jay millions"

    Ahahaha iwe boojo naona unamariza hasira zako zakuriwa sario deire kupitia Jay mirion harafu washindi wengine.. :heh:
  5. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Boga ni tamu ukila kwa mkono
  6. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tunda la wizi tamu
  7. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Sipendi - Special thread

    Unajuaje kama hana ashki majnun? Kipozeo changu kinamhusu nini?
  8. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Wakuu mkikutana ma uyu itakuaje

    Nitamuambia hata kwetu wapo kama yeye..
  9. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hapa nilikua nakusubiri wewe
  10. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Sipendi - Special thread

    Sipendi nikiwa kwenye daladala konda kuniuliza "una mia nikupe mia mbili?" sipendiiiii
  11. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Sipendi - Special thread

    Ahaha hii inaboa sana kuna wakati mtu unataka kutoa lock tu mtu anakuwekea kibanda.
  12. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Sipendi - Special thread

    Sipendi tabia ya mama mwenye nyumba kuniangalia vibaya kila nikiwa na kipozeo nasema ukomeeee.eeeeee
  13. Pompoo

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda apokea meseji tatu za vitisho

    Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda amepokea meseji tatu za vitisho kutoka namba zisozosajiliwa. Akizungumza na Millard Ayo alisema meseji hizo ni pamoja na 1.Kutishiwa Kutokana na kutetea maslahi ya wasanii. 2.kutishiwa maisha Kutokana Na kusimamia sheria na katiba.. (STK)...
  14. Pompoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajui kusamehe

    Nakuja pm nahisi utakua my x girlfriend.
  15. Pompoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajui kusamehe

    Kama umelijua tatizo ni nusu ya kutatua. Jitahidi usamehe maisha mafupi.
Back
Top Bottom